Mbunge:mwenge unachochea ngono

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
MBUNGE wa Micheweni, Haji Khatib Kai (CUF), amesema kuwa mbio za Mwenge wa Uhuru zimekuwa zikilalamikiwa kwamba zinachochea vitendo vya zinaa kwenye vituo unavyopiga kambi.

"Mheshimiwa Spika, mkesha wa mbio za mwenge mara nyingi huhamasisha masuala ya ngono ambayo hueneza Ukimwi na magonjwa mengine, je hamuoni kuwa jambo hilo ni kosa na halina faida kwa mustakabali wa nchi yetu,''.

Naona huyu jamaa kaongea kitu cha maana sana kwani kunako mwenge watu huwa wanananihii sana na ninaamini kila ukipiga kambi lazima wapata ngoma ni wengi mnoo...naona huu mwenge sasa ufutwe tu HASARA ni KUBWA kuliko FAIDA

SOURCE:GAZETI MWANACHI
 
Back
Top Bottom