Mbunge: Mimi niko bungeni muda mrefu lakini nakaa viti vya nyuma askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha kuangaliana na Spika!

Wabunge CCM ni wanafiki Sana, na bunge lao ni dhaifu Sana! Wanachuki binafsi baina yao!

Kwenye sakata hili, Gwajima kashajua yupi rafiki wa kweli!
Gwaji mwenyewe ni mbunge wa ccm. Kundi lake analijua hata kabla ya hilo sakata.
 
Tatizo CCM mnaendeshwa na fikra za mwenye kiti, na hii Ni hatari Sana!
Hamjijengi na kujipima uwezo wa kifikra baina yenu, m/kit akisema hlo halina mjadala!

Hapa tuko sawa__________NDIYO
Au tumekosea____________NDIYO
Hawaeleweki, walipopiga pambio za kupinga sayansi, kukataa chanjo na kuleta uchafu wa miziz na kujifukiza ni hao hao ambao Sasa wanazipigia pambio chanjo! Yan ipo cku m/kit atawaambia kuleni mavi na mtakula kwa sababu m/kit kasema!

Enyi Wana CCM ni nani aliyewaloga??
Hao naona wamepumbazwa na moshi wa mwen.g
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
Hotuba ya yule mbunge ilijaa mafumbo,nahau na tashtiti nyingi huwezi kuielewa kwa urahisi kama umeichukua kama ilivyo,kifupi mbunge alifikisha ujumbe kwa gwajima kwamba yeye ni mchanga sana bungeni hivyo asijifanye mjuaji kuliko wakongwe,hili ndilo lilikua fumbo lakukaa kiti cha mbele na kukaa kiti cha nyuma.Ukiisoma biblia kama shekhe Mazinge lazima utapotosha uma.
Nakushauri rudia kusikiliza clip vizuri.
 
Kama kuna mbunge kasema hivyo basi ama ni mjinga au hajui nini maana ya back Bencher. Wabunge wanaokaaga nyuma ni ma veteran na wanakuaga hawachagui kama wapo upinzani ama la inakuaga lazima kuwa treat with care kwenye mabunge ya maana
 
Hotuba ya yule mbunge ilijaa mafumbo,nahau na tashtiti nyingi huwezi kuielewa kwa urahisi kama umeichukua kama ilivyo,kifupi mbunge alifikisha ujumbe kwa gwajima kwamba yeye ni mchanga sana bungeni hivyo asijifanye mjuaji kuliko wakongwe,hili ndilo lilikua fumbo lakukaa kiti cha mbele na kukaa kiti cha nyuma.Ukiisoma biblia kama shekhe Mazinge lazima utapotosha uma.
Nakushauri rudia kusikiliza clip vizuri.
Hata mimi nafikiria hivyo maana ma veteran ndiyo hukaa nyuma na si mbele. Lile lilikua dongo na si malalamiko
 
Unamaanisha communist party , kama vile vya China na Cuba
Communism si socialism meku.....

Na Socialism si ujamaa wa kiafrika alioutufunza baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere......

CCM ni chama cha ujamaa wa kiafrika bwashee.....
 
Gwajima si MWANACCM kindakindaki.....

Hakuna mwanaCCM aliyeivishwa katika MADARASA ya ITIKADI akawa na hulka za Gwajima.......

Gwajima alibebwa na hayati JPM....

HASHTAG CCM IMFUKUZE GWAJIMA

#CCMkwanzaKablaYaYeyote
Vipi Nyerere aliyewahi kusema CCM inanuka rushwa?

Vipi Horace Kolimba alisema imepoteza mwelekeo.
Vipi Magufuli aliposema chanjo hazifai.
Vipi Kinana aliposema mawaziri mizigo.
Haawa hawakuiva nao kiitikadi? Au shibe tu na chuki?
 
Wewe kamsikilize tena jamaa YouTube ndio utamuelewa
Alikuwa akitolea mfano kwenye Biblia na kusema ukialikwa kwenye harusi usikae viti vya mbele, kwani vinaweza kuwa vimetengwa kwa wageni maalumu

Akasema Gwajima amealikwa (CCM) na kupewa kiti cha mbele lakini anafanya vituko

Kama unaelewa fasihi, kuwekwa kiti cha mbele hamaanishi kiti cha kukalia, anamaanisha kupewa umuhimu na upendeleo kuliko hata wale wakongwe
Hiyo ni tafsiri yako.

Pale bungeni watu wote muhimu hukaa mbele ili waonekane kwa Spika.
 
Gwajima si MWANACCM kindakindaki.....

Hakuna mwanaCCM aliyeivishwa katika MADARASA ya ITIKADI akawa na hulka za Gwajima.......

Gwajima alibebwa na hayati JPM....

HASHTAG CCM IMFUKUZE GWAJIMA

#CCMkwanzaKablaYaYeyote
Ni mbunge yupi wa CCM ambaye hakubebwa na mwendakuzimu!!??
Ni jimbo gani ambalo uchaguzi ulikuwa huru na wa haki!!???
 
Uzuri ni kuwa Gwajiuno mwenyewe walimpa hiyo nafasi kimagumashi gumashi na anawaumiza wao
Kinyago wamekichonga wenyewe, sasa kinawatisha, si wakitupe??

Privileges za watu wa mwendazake na Ndugai hakuwa jinsi, maana allikuwa naye ni mgonjwa ghali kuliko wote.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
🤣
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
Wanaccm bila ubunge ni sawa na wauza nyama wa kona bar
 
Vipi Nyerere aliyewahi kusema CCM inanuka rushwa?

Vipi Horace Kolimba alisema imepoteza mwelekeo...
Komredi Kinana alimshambulia wapi Rais wa nchi?

Aling'ang'ana wapi kumshambulia Amiri Jeshi wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?!!!

Hayati Baba wa taifa hili....MENTOR....usimuweke kwenye BOTI NA WENGINE....ukosoaji wake haulinganishwi na GWAJIMA et al.

HASHTAG CCM IMFUKUZE GWAJIMA

#SiempreCCM
#NchiKwanzaKablaYaYeyoteNaChochochote

Back
Top Bottom