Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Hivi tulivyoelezwa kuwa kuna watu wameingia JF kama sehemu ya ajira na wanatoa mada kwa kulipwa yawezekana ni kweli; au ndiyo mambo ya ajira kwa vijana? Kweli mwaka huu tutasoma mada zisizo na kichwa na miguu bora tu watu wanafukuzia posho zao kupitia m pesa.
Mkuu, corruption ni kitu kibaya, taifa linapogubikwa na janga la aina hiyo ni balaa tupu, sijui tunaoelekea, maana posho sasa ndiyo kipaumbele na watoa posho sasa kibao!
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo amesema kwamba Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alifanya kile alichokuwa anakitafuta muda mrefu kuchochea wanafunzi wamzomee ili aaibike mbele ya wananchi anaowaongoza.

Mkuu huyo wa mkoa pia amesema kwamba anashangazwa na Lema kujificha na kama asingekuwa na kosa asingejificha.

Mkuu huyo wa mkoa ameongeza kwamba Lema anatakiwa kusaidia polisi kuhusu vurugu zilizotokea na akasema maelezo yake pia yanahitajika kabla ya hatma ya wanafunzi 13 wanaoshikiliwa kujulikana.

Pia Mulongo amekanusha kumtumia ujumbe wa vitisho Mbunge Lema na kusema kwamba hawezi kufanya hivyo.

Katika hali ya kukata tamaa mkuu huyo wa mkoa amesema'''Inatakiwa Lema abadilike jamani''''' Alisema kwa kifupi bila kufafanua.

Source:Mwananchi.
Yaani katika mazungumzo hayo yote hajazungumzia kifo cha mwanafunzi? Jamani kuna watu wana roho ngumu!
 
Hizi siasa vyuoni noma sana,zinawalostisha watoto wa masikini wanaoingizwa choo cha kike,sasa kimefungwa wa MTWARA IRINGA LINDI TANGA SONGEA nk. hawajui nini wafanye.
 
anamakosa ya uchochez ambao umesababisha kifo cha mwanafunzi.shame on you cdm.

Oya hapo ulipo mpo wote 23 au peke yako!?maana kila post unajibu wewe!au leo unataka nyingi ya Killi baridi badae,tutaftane basi.
 
cock and bull stories toka kwa watawala,this again is evidently the government is in the verge of collapsing.
 
Kuwa MAKINI sana, kama gari lako limechukuliwa na "POLISI" angalia isije kuwa wameshakuwekea RICIN au POLLONIUM ili uje ufe taratibu!! I am just thinking LOUD!
 
Siasa za bongo, bora uwe mtazamaji tu.

Kwa kuwa Lema ni kiongozi,maana take inatakiwa awe kinara wa kudumisha Amani,anapoona kuna namna yeyote ama jambo linaloweza kusababisha amani itoweke na pengine kinachohitajika ama kilichokosekana na busara kutoka kwa wahusika basi alipaswa kuonesha busara zake kurejesha amani mahali hapo ili na wapenda amani wamsifu .tuache ushabiki wa siasa Ktk hili kwani swala la mwanafunzi kudhuriwa ama kuuwa kuna tofauti gani na watu wengine wasiokuwa wanafunzi kupatwa na majanga kama hilo huku mtaani? Polisi hapo wanahusika vipi? Ni jamii imepoteza maadili na hapo hao wahalifu wangetafutwa tu kwa kufuata taratibu na baada ya hapo ikionekana kuwako na kasoro Ktk mazingira ya chuo swala ambalo ndilo limesababisha madhara hayo basi uongozi na bodi ya chuo pamoja na viongozi akiwepo lema wangeitana watafute suluhu ya tatizo. Tunawaomba wapenda Amani wote bila kujali itikadi za chama tushikamane kudumisha amani,fikiria wanachuo wangeingia mitaani kupambana na raia kama walivyokuwa wwamepanga nini kingengetokea ni kweli labda raia wangekaa kimya wakiadhibiwa na wakufunzi? Na kama raia nao wakijibu ingekuwaje?
 
Kwenye Laptop Yake Zimekutwa Vidio Za Mipango Ya Kigaid,pamoja Na Siraha Yakivita Na Kofia Za Kininja Mia 2 Alikua Amepanga Kufanya 2kio Na Vijana Baaz Yao Alipanga Nao Mipango Hiyo Alipokua Jela Kisongo Na Ndo Mana Alikua Anapenda Kwenda Jela Kumbe Alikua Anaagenda Yake Ya Kigaid,naomba Polc Mcmwachie Gaid Huyo
 
Back
Top Bottom