Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

Status
Not open for further replies.
Mtu kama wewe ndio unataka kuheshimika JF unajiita mkubwa, kauzu kweli kwa hiyo wewe utaishi milele kwenye hii dunia.

Usitoke mapovu Ritz, uone na ukawaeleze mabwana zako kuwa watu wamechoka, wanawaombea mfe mkiwa hai!!
 
Ajali gani mbaya zikupate mara tatu kwa wiki moja, gari ipone, watu watoke wazima?

Huku ni kutafuta Political attention na Public sympathy tu.

Na kama kweli ni ajali basi kuna uwezekano dereva ni mzembe, barabara ni mbovu au gari ni bovu nk.

Hivi watu wanajua maana ya ajali mbaya kweli?
 
anahitaji maombi ya walokole aondokane na huo mkosi wa ajali unaomwandama.
si bure hilo ni roho chafu linamwandama na mabalaa na mikosi.
ugua pole mheshimiwa daktari
 
Mwanga wa milele umuangazie eebwana, apumzike kwa amani, ameen!

CCM ilikupenda, lakini mola alikupenda zaidi na kazi yake haina makosa.
 
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?



Mapigo ya BASHE hayo, usipime!
 
Mleta mada unaposema ni ajali mbaya halafu hutoi updates wala kusema yuko hospitali gani na hali yake ikoje, ndiyo unasababisha watu watoe RIPs'.

Toa updates,otherwise kila mtu atasema lake.
 
Ha ha ha ha Mambo mazito SSM? Akipona atafute dereva mwingine!!!! Kambi ya Bashe ikifadhiliwa na yule fisadi anayehemea urais si ndogo!!!

Huyo jamaa balaa kabisa, amenunua ndugu zangu wote hata wale nilioamini hawawezi nunuliwa wamenunuliwa.... (Nimeongea na mmoja wao jana nikabaki napigwa butwaa). Lakini mi ninaye mpaka atapiga goti kukiri Yesu ni bw...Ikulu aiote tu kitandani akilala lakini hata kaa akanyage ule mlango!
 
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?

Ni kwanini UMERUKIA kwenye KUSEMA NI FOUL PLAY??? UNAMTAFUTIA UMAARUFU?? MBONA wabunge wengi tu Wanapata ajali na Wanapoteza MAISHA YAO na hakuna anayesema kuhusu FOUL PLAY??? WHAT's SPECIAL ABOUT HIM 2 HAPPEN 2 HIM all of a SUDDEN???

Was he the chosen One? He came THIRD but was selected to represent the DISTRICT; Sasa MBONA HIVYO?
YEYE ndio MWENYE BAHATI KULIKO MTOA JASHO LOLOTE NCHINI...

Ushauri ni kwa yeye kwenda kumuona MH. RAIS na kuangalia ni vije ataweza kuimarisha Uhusiano wake na PRESIDENT kama Ulivyokuwa zamani na kama aliteleza; atafanyaje arudi kwenye close circuit ya RAIS wake ??? sio kupasuka kwa MATAIRI na kutafuta MBAYA
 
Ukweli husemwa:

Mh. Pole kwa ajali iliyokupata.

Inasikitisha na kuchukiza pale jamii inapokuwa na roho ya kinyama isiyotambua na kufadhaika kutokana na maumivu ya binadamu mwingine.

Watu wengi nchi hii hasa humu JF wanajifanya wacha Mungu lakini matendo na fikra zao hazifanani naza kibinadamu. It's very sad.

Leo maumivu kwake lakini kumbuka kesho itakuwa kwako.

Please, treat others as you want to be treated
 
Pole sana tunamtakia uponyaji wa haraka sana. Inaweza tokea kwa mtu lakini hatuwezi kuondoa hisia za hujuma bila kutafiti kwanza. Hapa duniani wako wapumbavu wabaya wanaweza kuwa wamefika na kulegeza nati za tairi ili apate ajali kwa sababu za kipumbavu za kutaka mwenzao asiendee kuishi bali wao ndio wafaidi wanachokitafuta lakini hawajui Mungu hana mkataba na katika uhai wa wanadamu.

Uchunguzi wa kina ufanyike!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom