Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

Status
Not open for further replies.
jamani mnaoingia kwenye siasa naomba muwemakini sana haswa kwa siasa za kiafrika (tanzania) ni full uchawi kila kona
 
CDM hao wamelihujumu gari la Mh Mbunge, Dr. K ukipona achana na siasa, vaa koti kaokoe maisha ya watu.
 
pole mbunge wa nzega...chezea bashe wewe..
bashe mwenyewe babake ni shehe mkuu wa wilaya na nzega, hata ukienda sasaivi utamkuta anakula mirungi kama hana akili nzuri pamoja na ushehe wake...waulize wakazi wa nzega watakueleza vizuri hawa hamaa walivyo....kigwangara ana kazi nzito..imbombo ngafu kwake aisee.
 
Ha ha ha ha Mambo mazito SSM? Akipona atafute dereva mwingine!!!! Kambi ya Bashe ikifadhiliwa na yule fisadi anayehemea urais si ndogo!!!

Bashe na wahuni wake wa Nzega waulizwe, they can do anything to him just bcse his a toddler minded,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom