Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

Status
Not open for further replies.
walikuwepo kina Kolimba, Kambona, Tuntemeke, Sokoine walijaribu kufurukuta lakini wakakutana na waftini wakawamalizia mbali....
Leo naona kuna kina Kigwangalah n.k pia watapita maana CCM ina wenyewe.
JF ni balaa,mtu hajafa mnazulia kafa!Mtaacha magamba wachanganyikiwe bure,maana kaende heche sumbawanga watu nyomi,angeenda zito au dk slaa si itakuwa balaa?
 
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?

pumzika kwa amani huko ulipo Hospitala Kigwa, Mungu akuponye na majeraha
 
I hope you're feeling better, I miss you every day. I'm always thinking of you, So this is what I say, Get Well Soon!

Kigwangala 3.jpg
 
pole sn mh kigwangala, tunakuombea upone haraka ili ukaendelee kushirikiana vizur na magamba wenzako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom