Mbunge kaugua ghafla

atakuwa anaongopa mapigao ya upinzani CDM wanatisha wanawapa pressure sijui hatima yake
 
Hata kama Profesa Maji marefu hayupo wangemtumia mama Lwakatare atoe maombi kama lilikua ni pepo!
 
ni mbunge mwanamke nimeona kabebwa kutolewa nje ya bunge ingawa tbc hawajaonesha hilo tuki, tukio limetokea wakati mbunge wa huko njombe firikunjombe akichangia hotuba ya waziri mkuu
 
Sichangii wala sihukumu mtu wala chama chochote!!

Walioko huko tujuzeni ni nani na wa chama gani?
 
Au usijekuta ni kadikteta Kenu Saanane kanatafuta uchaguzi mdogo kwa nguvu,manake kenyewe ni kaumini kakubwa ka assassination hasa pale kanapotaka kitu/madaraka...kamechinjiwa baharini uenyekiti wa bavicha ninavyokajua katakuwa kanatafuta chaguzi ndogo,nasikia kuna siku kalionekana na Deus mallya makao makuu ya chadema.Chama cha Demokrasia-Mafioso(Chadema)
 
mmmmh hivi viongozi huwa wanapimwa afya zao kabla ya kuruhusiwa kushika nafasi fulani? na kama ni kweli ni coz of clubs? hatua gani zitachukuliwa?
 
Nahisi atakua ni mbunge wa CCM maana ndio wabunge wanaoongoza kwa kuanguka ovyo akiongozwa na mwenyekiti wao!
Hakuna aombae maradhi, binaadam hujafa hujaumbika. Leo wewe mzima usidhani wenzako wanaomba au wanapenda kuanguka. Wewe ulie mzima ukiona hayo kwa wenzako unawaombea yawaondokee na wewe ya sikukute. Si CCM wanaoaunguka, tulishasikia kuwa Slaa alianguka chooni na kuvunjika mkono. Tunamuombea yasimtokee tena matatizo hayo. Nasi Mola atuepushie.
 
Au usijekuta ni kadikteta Kenu Saanane kanatafuta uchaguzi mdogo kwa nguvu,manake kenyewe ni kaumini kakubwa ka assassination hasa pale kanapotaka kitu/madaraka...kamechinjiwa baharini uenyekiti wa bavicha ninavyokajua katakuwa kanatafuta chaguzi ndogo,nasikia kuna siku kalionekana na Deus mallya makao makuu ya chadema.Chama cha Demokrasia-Mafioso(Chadema)

Duh na wewe ni miongoni mwetu? A Great Thinga in deed!
 
Back
Top Bottom