Tumia akili wewe yeye anaitaza bangi Kama malighafi katika viwanda vya kuzalisha madawa na sio upuuzi unaoufikiria wewe.
Sasa kati ya Mimi na wewe na arudi shule? Kwani serikali ambazo mwanzo zilipiga marufuku lakini saizi zimeruhusu inamaana mwanzo hazikuona? Acha uchizi weweBoss much know Rudi shule, Unataka kusema Jamhuri aka Serikali miaka yote hiyo hawajaona hilo ???!!! Simple question, kwanini mpaka sasa Serikali inapiga marufuku Bangi??? !!! Sijui mnatumiaga Matako kufikiri au Akili, Usikute na wewe ni Teja aka Mtumiaji wa Bangi, anaye support huu Upuuzi sio Bure, akapimwe akili.
Binafsi natumia bangi, heroin, cocaine and co. Nipo Straight, Nina afya na utimamu wa akili na mwili.
Tatizo kwa hao ni nini?
Tarime oyeeeeeeMhe.Kishimba amejenga hoja bungeni kuhusu umuhimu wa kutumia bangi Kama zao la biashara tofauti na Sasa linavyopigwa marufuku.
Amedai gunia la bangi kwa Sasa hapa Tanzania linanunuliwa kwa milioni nne wakati Zimbabwe linanunuliwa kwa dola elfu saba ambazo ni karibia milioni ishiria za Tanzania.
Amewataka wabunge na wananchi wafahamu kuwa dawa za usingizi zinatokana kwa kiasi kikubwa na bangi.
Amehoji Kama japani wanatumia bangi kwa kuvuta na bishara kwanini sisi tusikubali kuruhusu usafirishaji na ulimaji wa bangi.
Bangi soon inakuwa bidhaa halali
Kama inauzwa kwa bei hiyo basi ni bora iruhusiwe tu.
Na tuitafutie soko huko Zimbabwe.
Tutawauzia gunia kwa Shilingi milioni Kumi, wao wauze kwa hiyo milioni ishirini.
Hii ni fulsa kubwa sana kwetu watanzania.
Kuhusu kuivuta.
Wanaovuta bangi watavuta tu na wasiovuta hawata vuta, na sio kweli kuwa wote tutaivuta.
Mimi nilishawahi kulima zao LA Tumbaku na sikuwahi kulivuta hadi Leo hii.
Kama bei ya Bangi ndio hiyo basi watu waruhusiwe kuilima na katazo LA kuivuta libaki paleale, itolewe elimu kwa wakulima kuhusu madhara ya bangi kama inavyo tolewa elimu juu ya madhara ya ugonjwa wa Ukimwi katika jamii yetu.
Bangi itatukomboa katika Lindi la umasikini na kuiongezea mapato Serikali.
Tuchangamkie Fulsa.
Sio kweli....
Ikihalalishwa itavutwa na wachache hao hao na pia hakuna impact mbaya kwenye bangi kama ilivyo kwa pombe,sigara na madawa ya kulevya,nchi nyingi zimehalalisha bangi na hakuna madhara yoyote.
Sasa where is immorality in Marijuana...watu mnakaririshwa sana
Nchi gani hii,Mpaka sasa ni daktari ndiye anae Amun’s nani atumie dawa hizo
Ndoa nyingi sana zitakufa...wanandoa watauana na mapanga daily..!Me nitahama nchi kwakwel na wanangu..endeleeni na mauupuzi yenu tu!
Nimeharibu siku ghafla
Hivi kati ya SIGARA POMBE NA BANGI KIPI KINAUA SANA?
AND WHY HIVYO VILIWI INGAWA NI HATARI SANA LAKINI NI HALALI???
Kweli wewe ni chizi fresh lakini usisingizie bangi labda ugumu wa maisha umekufanya uwe chizi.
Inabidi mje na hoja zingine,hii imekuwa dhaifu kwa sasa.Hii kitu sio nadharia tena,mbona Jamaica na nchi kadhaa uko mbele wame legalize lakini vichaa hawaongezeki?Km bangi ikihalalishwa na waongeze hospitali za vichaa na machizi wataongezeka mana vijana hawafany kaz wapo wapo
Hivi unajua nchi nyingi unywaji wa pombe ilikuwa kosa kisheria, katazo la kisheria hubadilika kulingana na research na mabadiliko ya kifikraBoss much know Rudi shule, Unataka kusema Jamhuri aka Serikali miaka yote hiyo hawajaona hilo ???!!! Simple question, kwanini mpaka sasa Serikali inapiga marufuku Bangi??? !!! Sijui mnatumiaga Matako kufikiri au Akili, Usikute na wewe ni Teja aka Mtumiaji wa Bangi, anaye support huu Upuuzi sio Bure, akapimwe akili.