Luteni JF-Expert Member Jan 9, 2010 2,274 302 Jan 10, 2010 #1 Samahani jamani kuna data bado na-ziedit nitazi-post muda si mrefu ziko kwenye Excel sasa hapa nikizi-pest hazikubali.
Samahani jamani kuna data bado na-ziedit nitazi-post muda si mrefu ziko kwenye Excel sasa hapa nikizi-pest hazikubali.
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Oct 21, 2008 2,268 333 Jan 11, 2010 #3 Kwa nini usisubili uka-iedit na kuileta moja kwa moja?
O Omumura JF-Expert Member Aug 20, 2009 476 18 Jan 11, 2010 #4 Ameitwa na MAJ GEN, lazima atii kwanza kabla ya ku post!!!
F Fisadi Mtoto JF-Expert Member Jan 7, 2008 639 79 Jan 11, 2010 #5 hivi kwa nini mpaka sasa hamjatoa hii thread
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,097 Jan 11, 2010 #6 Luteni's Avatar Luteni Member Points: 56,129, Level: 100 Points: 56,129, Level: 100 Points: 56,129, Level: 100 Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3% Join Date: Sat Jan 2010 Posts: 12 Thanks: 1 Thanked 9 Times in 7 Posts ======================================================== KARIBU JF...TARATIBU UTAJUA MILA ZA HAPA....
Luteni's Avatar Luteni Member Points: 56,129, Level: 100 Points: 56,129, Level: 100 Points: 56,129, Level: 100 Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3% Join Date: Sat Jan 2010 Posts: 12 Thanks: 1 Thanked 9 Times in 7 Posts ======================================================== KARIBU JF...TARATIBU UTAJUA MILA ZA HAPA....
Tundapori JF-Expert Member Aug 12, 2007 645 260 Jan 11, 2010 #7 Hivi haiwezekani kukawa na kipindi cha ukomo kwa mbunge? kama inavyokuwa kwa raisi vipindi viwili tu vya miaka mitano mitano. Je, haiwezekani kwa ubunge ikawa na kikomo? au kwa sababu labda hatuna watu wa kutosha bongo wa kuweza kuwa potential wabunges? Naomba kueleweshwa!
Hivi haiwezekani kukawa na kipindi cha ukomo kwa mbunge? kama inavyokuwa kwa raisi vipindi viwili tu vya miaka mitano mitano. Je, haiwezekani kwa ubunge ikawa na kikomo? au kwa sababu labda hatuna watu wa kutosha bongo wa kuweza kuwa potential wabunges? Naomba kueleweshwa!