Mbunge Cecilia Paresso atekeleza yaliyoshindikana kwa serikali ya CCM iliyo na miaka 50

Cdm ina takribani miaka ishirini na sidhani kama kuna dalili yoyote kuishinda ccm 2015

Ooh! Is umri a big deal here eeh! Wakoloni walisalimu amri kwa TANU na chama hicho kikaweza kupewa madaraka na kuongoza nchi kikiwa na miaka mingapi kweli vile. Kumbuka historia.
 
Muanzisha thread mpe cheo chake kamili Mbunge Cecilia Paresso, ni Mbunge wa viti maalum umeandika utadhani hulijui hilo.

Hicho unachosema kafanya mbona kawaida tu mkuu au umeamua kumpamba kuna wabunge wengi wanasomesha watoto ukitaka orodha yao takupa.

Kusomesha watoto 100 shule za kata wala sio kitu cha kujivunia, ada ya shule za kata ni 1500 kwa mwaka.

15,000 x 100= 1,500,000

Si haba, wewe umesomesha wangapi katika hizo shule za vitongoji na vijiji, hasa huko kijijini kwako Ukerewe.
 
Kaka mbona unajichanganya kwenye mahesabu yako. Na kwa sababu mahesabu hayo ndiyo msingi wa hoja yako hapa, huoni kuwa hoja yako imepoteza mashiko yote uliyotaka kuijengea. Pole. Lakini pia naona watoto/wadogo/jamaa zako hawasomi hizi shule za umma hizi, maana hata karo ya shule hizo kwa mwaka unaonekana huijui. Cross check mkuu.
 
Muanzisha thread mpe cheo chake kamili Mbunge Cecilia Paresso, ni Mbunge wa viti maalum umeandika utadhani hulijui hilo.

Hicho unachosema kafanya mbona kawaida tu mkuu au umeamua kumpamba kuna wabunge wengi wanasomesha watoto ukitaka orodha yao takupa.

Kusomesha watoto 100 shule za kata wala sio kitu cha kujivunia, ada ya shule za kata ni 1500 kwa mwaka.

15,000 x 100= 1,500,000

Ritz,
We ni mtanzania kweli? sidhani kama hii ni hoja ya msingi, ila naona ulikuwa unatafuta point ya kuzungumza na sina hakika kama umeipata!
 
Muanzisha thread mpe cheo chake kamili Mbunge Cecilia Paresso, ni Mbunge wa viti maalum umeandika utadhani hulijui hilo.

Hicho unachosema kafanya mbona kawaida tu mkuu au umeamua kumpamba kuna wabunge wengi wanasomesha watoto ukitaka orodha yao takupa.

Kusomesha watoto 100 shule za kata wala sio kitu cha kujivunia, ada ya shule za kata ni 1500 kwa mwaka.

15,000 x 100= 1,500,000

shame on u cancastcoksblog gay! Na we unasomesha wangapi?

Shardcole@Tabora1
 
Si haba, wewe umesomesha wangapi katika hizo shule za vitongoji na vijiji, hasa huko kijijini kwako Ukerewe.
Mkuu mie nimefika mpaka Manga Mtindiro, Manga Mkomazi, Holili, Kibosho Umbwe...sijui utaniita Mchaga.
 
Muanzisha thread mpe cheo chake kamili Mbunge Cecilia Paresso, ni Mbunge wa viti maalum umeandika utadhani hulijui hilo.

Hicho unachosema kafanya mbona kawaida tu mkuu au umeamua kumpamba kuna wabunge wengi wanasomesha watoto ukitaka orodha yao takupa.

Kusomesha watoto 100 shule za kata wala sio kitu cha kujivunia, ada ya shule za kata ni 15,000 kwa mwaka.

15,000 x 100= 1,500,000

nani alikwambia shule za kata ni sh 15,000?
Ada sh20,000
karatasi 10,000
ulinzi 5,000
mchango wa ujenzi 15,000
dharula 5,000
usafi 5,000
library 10,000

jumla 70,000 *100 = 7,000,000

kwa fisadi hizi ni hela ndogo, kwa mvuja jasho hizi ni nyingi sana......
 
Kazi nzuri mama, uendelee na moyo huo.

Haya mambo madogo madogo ambayo yanaweza kufanyika leo yasingoje kesho.
 
Nasisitiza,

Tabia hii ya kutumia fake ID kuja kuuza sura hapa jamvini hatuipendi.

JF sio jukwaa la kujisifia kwa kutumia anonymous ID, kwani kuna ubaya gani ukisema nimefanya kadha ......

Mmeelewa?
 
Mbona hii ni kama kampeini ya kumg'oa mbunge wa Karatu Mheshimiwa Natse?
Hapa kunanukia mgogoro wa ndani, CDM muwe macho.

Nani kakuambia kunanukia mgogoro? Bila shaka wewe ni gamba kuu, na hizo ndo hofu ambazo CCM imekuwa ikijenga kwenye akili za watu kwa miaka 50 sasa. Eti mtu akiwa analeta maendeleo na changamoto kwa jamii tayari hofu inaanza.... Mmekwisha filisika mawazo. Kwani Natse ana hati miliki ya kuwa mbunge wa Karatu? Na je huyu mwanamke akiwa mbunge ajaye wa Karatu ni dhambi?

Chadema wanaimarisha minds za watu na kuwaamsha kutoka katika fikra potofu na gandamizi za CCM, na Karatu wameshaligundua hilo, nyie endeleeni kuwatisha watu kwa kutumia keyboard, too late my friend. Muda si mrefu na wewe utalivua gamba, kaa mkao japo naona hata husomi alama za nyakati.

Hizo fikra zenu potofu ndo zimewafanya CCM wawe na wabunge ambao wako mjengoni kwa miaka 30 mpaka 40 bila kupewa challenge kwenye uchaguzi, maana akijitokeza mtu anatishiwa mpaka anaachia nafasi. Matokeo yake mmekuwa na wabunge vilaza wanaosinzia bungeni maana hata hawafikiri.
Shame on you
 
ebu watusaidie kupambana na ufisadi katika halmashauri ya wilaya ya karatu ambayo asilimia kubwa ya madiwani ni cdm pamoja na mwenykiti wake lazaro kubwa zaidi stand ya karatu hivi sasa mvua zinanyesha hiyo stand haiingiliki lakini tayari kuna taarifa za kiasi cha shilingi milioni hamsini zimetumika kuikarabati ni kero kubwa ikitiliwa maanani kwamba mabasi yote yanalazimishwa kuingia katika stand ambayo ni tope tupu
 
nani alikwambia shule za kata ni sh 15,000?
Ada sh20,000
karatasi 10,000
ulinzi 5,000
mchango wa ujenzi 15,000
dharula 5,000
usafi 5,000
library 10,000

jumla 70,000 *100 = 7,000,000

kwa fisadi hizi ni hela ndogo, kwa mvuja jasho hizi ni nyingi sana......
Hapo kwenye bold shule za kata hazina hivyo vitu.
 
Back
Top Bottom