Mbunge bibi miaka 60, aolewa na kijana wa miaka 26

Alafu cha kushangaza zaidi Mama mzazi wa huyo kijana anaumri wa miaka53. Hapa inamaana ametembea na mtu aliemzidi ata mama ake mzazi umri. Alafu maccm yanaona ni kitu cha kawaida na sahii tu.
Ila zinaa ya Dr. Slaa na Josephine ndiyo sawa?
 
images
images
images

Wacha pictures zijieleze zenyewe
 
JF raha tupu. Kwa hiyo mkuu kifulambutu muhimu ni km inasoma kilomita na sio maili! Ahahahahaha, nacheka ki le mutuz.

ha ha ha ha ha...ma bebs wakale km vp njoo na wewe usafishe macho nipo leaders hapa.
 
"Ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni" Dr. Slaa na Josephine kuzini ni halali lakini mwanamke wa miaka 60 kuolewa na mwanamume wa miaka 26 ni karamu?
 
Ila zinaa ya Dr. Slaa na Josephine ndiyo sawa?

Alafu wewe shetani ulielaaniwa naomba sana ukiona nimechyangia post yoyote usinijibu maana unanitia najisi.
watu badala wafuate mambo yao mnakaa kuwaaribia wengine siku
 
Kuna shost.., shostyto, shostngwa, shostjimama..hilo shostijimama zuri kwa kulea nipo tayari kwa jimama ambalo lipo upweke umri wangu 25, call 0757316427
 
mabinti wakimegwa na vibabu haina shida ila ,vibibi vikimegwa na vijana ni tatizo kwa nini hapa[/kwa kuwa sisi wa mama ndo tunaenda lobour ward vinginevyo na wababa wakienda huko hakutakuwa na cha ajabu. QUOTE]

Unaonyesha jinsi gani unalaana. Na kama mama kama wewe unafuraiya na kuunga mkono mambo kama haya, Je! familia yako inamalezi ya namna gani?
 
​MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60), amejikuta kwenye kashfa nzito ya kufunga ndoa na kijana, kinda wa miaka 26, Michael Christian.

Ndoa hiyo ambayo ilifungwa katika Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), linaloongozwa na Mchungaji Getrude Rwakatare ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia CCM, imebaki kuwa gumzo na kuwaacha hoi baadhi ya mawaziri, wabunge wanaoifahamu pamoja na majirani wanaoishi na mbunge huyo.

Vyanzo vya habari kutoka ndani ya wanandoa hao na majirani wanaowazunguka, vilithibitisha kuwa ndoa hiyo ilifungwa Septemba Mosi mwaka 2011, na ilibaki kuwa siri kabla ya wawili hao kukorogana.

Kabla ya wawili hao kuamua kufunga ndoa, mbunge huyo kutoka mkoani Rukwa, mwenye makazi yake Bagamoyo mkoani Pwani, alikuwa akimtumia Michael kwenye shughuli mbalimbali na muda wote alikuwa akiishi nyumbani kwa mbunge huyo.

Inaelezwa kuwa mbunge huyo ambaye ana familia ya watoto wawili ambao kiumri wanalingana na Michael, alianza uhusiano wa kimapenzi na kijana huyo kwa siri kubwa na baadaye alifanikiwa kumshawishi wafunge ndoa huku akimuahidi kumpa huduma mbalimbali anazotaka.

Kwa mujibu wa habari hizo, wawili hao waliamua kufunga ndoa katika Kanisa la TAG baada ya mbunge huyo kufanikiwa kumshawishi Mchungaji Rwakatare kwamba ndoa hiyo itakuwa siri, hasa kutokana na tofauti ya kiumri kati yao.

Hata hivyo ndoa hiyo kwa sasa imekumbwa na mgogoro mkubwa, huku mbunge huyo akidaiwa kuzuia kila kitu cha mumewe huyo, hasa vyeti vyake vya shule kama njia ya kumbana warudiane.
[/QUOTE0)


ok tunaweza kusema yote sawa,sasa na watotot wa huyo mama watamuitaje huyo msela?baba,kaka,anko au?kweli kidumu chama chetu cha mashuga mammy
 
Kuna shost.., shostyto, shostngwa, shostjimama..hilo shostijimama zuri kwa kulea nipo tayari kwa jimama ambalo lipo upweke umri wangu 25, call 0757316427

Mbona kitu ndogo sana hiyo, wewe unachotakiwa ni kufika ktk office za cmm na kutangaza nia, kuhusu mihela usijali kwani si unajua tena biashara ya sembe inavyowalipa?
 
hivi huyu maza mziki wa dogo anauhimili kweli? maana vijana wanaenda mizunguko 4 hadi 6 ndiyo wanapumua!!

Mkuu FUSO ng'ombe hazeeki maini. Ukute mama kapenda gemu kwa dogo, ni kupiga mambo mpaka unahisi harufu ya nyama choma.
 
hapa ndipo kwenye tatizo la msingi, yule bibi wa miaka 60 hawezi kukubali, iliwezekana anakutoa roho kabla hujaanza kuvinjari na binti wa rika lako kwa kutumia hela zake.

Uwezekano wa mama miaka sitini kuzaa ni mdogo,mama hapo ataambulia kuumizwa labda na ngoma ya uzeeni mkuu. Huyu mama mfipa wa Rukwa awe kamkamata dogo akili kwa ndumba. Vingenevyo asukume siku tuu.
 
Back
Top Bottom