Mbunge Askofu Gwajima sina Shida na REDE CUP yako ila Waambie wahusika wakiwa Wanacheza na kutuona Wanaume wasiwe wanajibinua na kuyatikisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,892
109,614
Haiwezekani kila Siku kwa Nia Njema tu tunaamua kwenda kutizama Rede yao ila kwa tunayoyaona na wanayoyafanya tunajikuta mwishowe 'tunadindisha' Silaha zetu Tukuka za Kibaiolojia na hali zetu kuanza kuwa mbaya.
 
Pumbavu.

ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
Ujuaji wako umekuwa mwingi hadi Kila unachokiandika mtu akienda tofauti nawewe tu unatukana.
Wanaokufahamu vizuri wametuhakikishia kuwa unaishi kanda ya ziwa sasa rede inayochezwa Kawe umeitazama lini?
 
Hakuna hata kapicha kamoja mkuu, Ili na sisi tulioko huku Magarama tufaidi uhondo wa Jimbo la kawe kwakuwa maendeleo hayana chama
 
Haiwezekani kila Siku kwa Nia Njema tu tunaamua kwenda kutizama Rede yao ila kwa tunayoyaona na wanayoyafanya tunajikuta mwishowe 'tunadindisha' Silaha zetu Tukuka za Kibaiolojia na hali zetu kuanza kuwa mbaya.
mawinchi na maburudoza yanasimama sio?
 
Pumbavu.

ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
Umeenda lini kuwatazama? Weka picha basi tujiridhishe kuwa kweli umewaona.
Mbona Twiga Stars ni wanawake pia ila hatujamuona mwanaume yeyote akilalama kuwa wanamfanya adinde.
Punguza ujuaji?
 
Haiwezekani kila Siku kwa Nia Njema tu tunaamua kwenda kutizama Rede yao ila kwa tunayoyaona na wanayoyafanya tunajikuta mwishowe 'tunadindisha' Silaha zetu Tukuka za Kibaiolojia na hali zetu kuanza kuwa mbaya.
Alaf tukiwaomba wanatuwekea mashart magumu
 
cc Moderator wa JF huwa hawaoni haya matusi kwenye hizi nyuzi au mpaka watu watoane damu...
 
Nina uhakika wa 100% kuwa GENTAMYCINE ningekuwa natukanwa, nadhalilishwa, nakashifiwa na nachafuliwa kama ambavyo Kutwa nafanyiwa hapa halafu sijibu Mapigo ( huku Wengi wenu na Unafiki wenu mkiwa mnafurahia ) wala hawa Moderators wa JamiiForums wasingeitwa ila kwakuwa GENTAMYCINE anawakabili vilivyo Wanaomchokoza Kutwa ( tena wakitumia IDs zao tofauti tofauti ) ndipo Moderators Wanaitwa.

Hovyo kabisa.....!!
 
cc:Moderator njoo huku Wananchi wanatukana hovyo wanashusha hadhi ya JF hoja yangu ni kwa waliotukana wote...
 
Back
Top Bottom