Mbunge aliyevaa herini afukuzwa bungeni Kenya

hivi heleni anatakiwa avae mwanamke au mwanamme?? let us be honest and open.
Ninyi ndio mnaotaka kuhalarisha kila kitu eti ni okay
tigo okay,gays marriage okay, everything okay
Its OK kufukuzwa bungeni kama dressing code inakataza kuvaa hereni la sivyo ni kumwonea tuu na kuonyesha jinsi tusivyoheshimu differences btn ourselves na kujidai eti kuvaa hereni ni kuiga culture za watu is just nonsense kwani hizo suit,viatu,tie,saa etc vyote si tumeletewa na hao western? sioni debate hapa zaidi ya kuangalia dressing code inasemaje.
 
The worst thing he could do is to sag his pants and have his boxers out that would would be really bad. There is a maasai guy in the kenyan parliament in full costume why did they not throw him out. At least he was tastful enough to have smaller earings plus they are diamonds not beads lol.
 
Hata kwetu Amina aliwahi kutolewa nje kwa mavazi, naye sijui alionewa maana nikilinganisha na huyu naona tofauti ni kubwa.
 
...hivi heleni anatakiwa avae mwanamke au mwanamme?? let us be honest and open
maasai.jpg

Je hawa ni wanawake?..
 
Back
Top Bottom