Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,353
Akihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema alisema hivi, Nanukuu,

"It is a Shame that people can get our country in such a mess. I asked the Press to save our nation from this Shame by Withdrawing the Intention to go into that kind of a contract." mwisho wa kunukuu.

Toa Maoni yako.

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

Hayo mamikopo ya mama yenu Kila siku...
Waarabu wamemzidi akili.....

Wamefanya butter trade system ya kibabe....kiuchumi...ya kuupora uchumi wa Tanganyika....!

Uchumi wa Tanganyika sasa mfukoni mwa ka-Emirate ka Dubai. Dah!

Hivi nani mshauri wa huyu mama aisee! Inauma saana!
 
Huko mbele tutakiwa na wakati mgumu sana kama taifa,hiki kidogo tunachozalisha at this moment kigamanwe mara mbili Ili mwekezaji apate za kwake,mbaya zaidi sioni wakisema ni mtaji wa kiasi Gani anawekeza,pia naamini hata sisi wenyewe ndani tunaweza kufanya hiyo investment.Tatizo jingine hizo expectation huenda zisiwe na uhasilia wowote,yaani kudouble au kutriple customers ,tuangalie Kenya wao kama hiyo bandari Yao inachangia Kwa kiasi hicho kwenye Pato lao la taifa,lao
 
Akihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema alisema hivi, Nanukuu,

"It is a Shame that people can get our country in such a mess. I asked the Press to save our nation from this Shame by Withdrawing the Intention to go into that kind of a contract." mwisho wa kunukuu.

Toa Maoni yako.
Niabu mwenyekiti afungue kesi ya zuio tuu tupo teyari kuchangia
 
Back
Top Bottom