Mbowe: Tutamtimua kiongozi yeyote atakayekiuka taratibu za chama

Mkuu vipi yule kanda, Mkuu wa kampeni zenu igunga aliyekamatwa live anambemenda mke wa kada mwenzake mmemchukulia hatua gani ndani ya chama chenu?

Hakuna wa kuchukua hatua maana wote wanatembea na wake/ wanaume wa wenzao.
 
Aweda unaongea siasa ipi? Mbowe ni mmoja wa wavunja taratibu za chama; je mh. Mbowe alipojipa deal ya mamilioni ya pesa kuiuzia Chadema vifaa alifuata taratibu zipi chama? Wote tunajua anachajaribu ni kutaka kuwatisha watu wasimpinge katika suala la mwenyekiti; Mbowe na mashwahiba zake wanataka kuweka mtu atayelinda maslahi yao ili waendelelee kula RUZUKU (hongo kutoka kwa watawala).

Chama
Gongo la Mboto DSM.


Mbona unaandika ukiwa chooni!?
 
Kiukweli ht suala liwe vp, ili mradi ni kweli litajidhirisha siku yoyote! Dalili za CCM kuumbuka hasa Igunga zinajionesha wazi! Tusonge mbele kuwaelewesha wananchi ili watambue ukweli na haki zao ili ukweli ujidhirishe!
 
Hongera kamanda, vipi mbona Shibuda mmeshindwa kumvua gamba?
 
Jiulizeni tu. Madiwani hawa walivunja kifungu kipi cha KATIBA ya CHADEMA au ya JMT kwa uamuzi wao wa kuunda serikali ya mseto na CCM pale Arusha?

Mkuu,
kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA kiongozi au uongozi wo wote wa chadema sharti utii maelekezo ya kiongozi au uongozi wa ngazi ya juu yake. Madiwani kukataa ushauri wa KAMATI kuu moja kwa moja wamevunja katiba ya Chadema. No compromise there.
 
Back
Top Bottom