Meking
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 222
- 45
CCM ndiyo Tanzania, angalau unalijua hilo...ccm wasingekuwa vibaka, Leo hii tungekuwa kama Malaysia.
CCM ndiyo Tanzania, angalau unalijua hilo...ccm wasingekuwa vibaka, Leo hii tungekuwa kama Malaysia.
Ruzuku ambayo inatokana na kodi yangu inaniuma inatumika ovyo.hiyo ni kodi yangu ambayo Chadema wanapewa ruzuku ndio maana inaniumaKwani hata wasingeenda hapo GT hiyo hela ingesaidia kuleta mboga nyumbani kwako!??
Maswali ya hivi yalikuwa maarufu sana awamu iliyopita. Upgrade urself...unamfahamu mwenye hotel ?
Na Tanzania ni masikini kwasababu ya ccm. Angalau nalijuwa hilo...CCM ndiyo Tanzania, angalau unalijua hilo...
Kwa hiyo hapo Chadema wanamlipa mwenye hoteli? Aisee ruzuku inaliwa vizuri sana.unamfahamu mwenye hotel ?
kibaka ni yule aliyepora KOROSHO, DOLLAR NA PESA ZA KINA MOKumbe na wewe uliimbishwa huu wimbo ukaimba?,ama kweli wajinga mpo dunia hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi atagusia na issue ya Kamanda Nasari ?Kwa hiyo hapo Chadema wanamlipa mwenye hoteli? Aisee ruzuku inaliwa vizuri sana.
Inawezekana.
wewe ni shetani kwani zile KOROSHO zilizopora na lile chz zilikuuma vile? yale maduka ya dolla yaloporwa mchana kweupeee na utawala huu wa kiimla ulishaamika kama kweli unapenda hakiRuzuku ambayo inatokana na kodi yangu inaniuma inatumika ovyo.hiyo ni kodi yangu ambayo Chadema wanapewa ruzuku ndio maana inaniuma
Swali lingine kabla hajaleta taarifa mpya ya kuchangia Lisu aje na taarifa ya mapato na matumizi iliyokaguliwa na CAG ya matibabu ya Lisu ya michango waliyochanga watu kabla ya kuitisha mipya.Alete hata ya kuishia pale Kenya tu alipokuwa kalazwa Lisu.Watu hawajaletewa audited report waletewe kwanza asianze kusema changia!!! Lete Ripoti kwanza Mangi.
ukiambiwa mmiliki ndiye Erythrocyte wa jf na ameamua kuitoa bure kwa ajiri ya makamanda wenzake utakuwa tayari kujiuwa ?Kwa hiyo hapo Chadema wanamlipa mwenye hoteli? Aisee ruzuku inaliwa vizuri sana.
Mungu mbariki Lowassa.ukiambiwa mmiliki ndiye Erythrocyte wa jf na ameamua kuitoa bure kwa ajiri ya makamanda wenzake utakuwa tayari kujiuwa ?
go on Mnowe go go!
Ndiyo za mwisho mwisho hizo! Nikukumbushe mwezi huu tu tumeshakula vichwa viwili tayari...Kwa hiyo hapo Chadema wanamlipa mwenye hoteli? Aisee ruzuku inaliwa vizuri sana.
ukiambiwa mmiliki ndiye Erythrocyte wa jf na ameamua kuitoa bure kwa ajiri ya makamanda wenzake utakuwa tayari kujiuwa ?