Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,742
- 218,333
akijibu nistueMagufuli alijenga kwa hela ya mama yake? Kama kwao binafsi wangekua na uwezo kiasi cha kuwajengea watu madaraja wasingeshindia furu hebu wacheni upumbavu wenu.
akijibu nistueMagufuli alijenga kwa hela ya mama yake? Kama kwao binafsi wangekua na uwezo kiasi cha kuwajengea watu madaraja wasingeshindia furu hebu wacheni upumbavu wenu.
Usimamizi wa rasilimali za umma ndio jambo la msingi.Ni jukumu la serikali kutoa huduma Kwa wananchi walipa Kodi, we dogo Kodi anayolioa Mbowe pengine hata 1/9 huifikii, majukumu ya serikali lawama ziwe Kwa Mbowe kijana wa hovyo kabisa wewe, inawezekana unatatizo la akili
We muuza bajia wa Tandika acha kiherehere. Hujui maana usimamizi wa pesa za umma? Subiri kula kwenda moshi na Mbowe huku mkipita juu ya daraja jipya.akijibu nistue
Matumizi mazuri ni ujenzi wa daraja la WamiMatumizi mazuri ndo uwanja wa ndege chato mnaanikia dagaa?
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.
Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.
Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027
Watzup mamen tindo? Huna jipya.Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Daraja ni fedha za wananchi sio za shetani yoyote.
na huo ndio ukweli.John joseph Magufuli (PhD)
Kama unamchukia huyu mwamba bila shaka una matatizo makubwa sana
Wewe utakuwa unatumia kichwa aidha kufugia nywele au kubebea meno
Watanzania ndio wanaolipa gharama za daraja...sio mtu mmojaDaraja lilikuwa kwenye plan tangu wewe hujaja mjini
Kwahiyo serikali ikitekeleza majukumu yake kwanini Mbowe alaumiwe?Usimamizi wa rasilimali za umma ndio jambo la msingi.
Acha kuwasingizia daraja la kigongo ndio likionekana ni useless..Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.
Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.
Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027
👍👍Kwahiyo serikali ikitekeleza majukumu yake kwanini Mbowe alaumiwe?
Alisema ni megastructure ambazo hazina manufaa
Ashakufa lakini daraja lipo, soon mtaanza kukuruza tu bila kusubiliana kama ilivyokuwa zamani.Akili za ajabu ajabu, bado unamfikiria marehemu! Kubali ashakufa imeisha hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashakufa lakini daraja lipo, soon mtaanza kukuruza tu bila kusubiliana kama ilivyokuwa zamani.
Hata mkoloni alijenga madaraja so what?Matumizi mazuri ni ujenzi wa daraja la Wami