Mbowe kama gurdiola

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Mara baada ya kufutwa kwa hati ya kukamatwa kwake na kuachiwa kwa dhamana,Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Mh.Freeman Aikaeli Mbowe alibebwa na kurushwarushwa juu kama Kocha wa Barcelona,Pep Gurdiola siku ya fainali ya Klabu Bingwa Barani Ulaya.Hii ilitokea nje tu ya Viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana.Hii inaashiria nini?
 
Hii inaamanisha kuwa anguko la CCM limetia,mana watu wa magamba wanafikiria kwa kutumia makamasi badala ya ubongo
 
Back
Top Bottom