Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

Demokrasia ssiyo kura za kikundi hapo tunakosea kama chadema watalipa Block vote au ccm hiyo si demokrasia ni kufuata mkumbo.
 
Wewe mganga njaa unafahamika humu. Endelea kujikomba labda utakumbukwa. Unashangaa Chadema kwenda mahakamani lakini hushangai aliyefoji vyeti na kuvamia Clouds kuendelea kuwepo Dar kama RC!
Ukiwa mkweli daima na ukasimama kwenye kweli, hata kama utabaki peke yako utaendelea tuu kusimama, mwisho wa siku ni ukweli tuu ndio huwa ukasimama mpaka mwisho.
Angalieni hapa nilisema nini kuhusu Chadema na nini kimekuja kutokea? .
Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni .....!

I was dam right. Watu wameichoka CCM mpaka basi, wanataka kuiona Chadema imara, Chadema serious ili Watanzania waiaminie waikabidhi ikulu.

Kitendo cha rais Magufuli kupiga marufuku mikutano ya siasa ni kinyume cha katiba ya nchi. Ukiondoa uhai kwa umuhimu, hakuna kitu muhimu zaidi kuliko katiba. Katiba ndio kila kitu, hata watu humu walipomfanya rais Magufu ndio Alfa na Omega, kuna akina sisi tuliwagomea Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!.

Rais Magufuli alipojitapa kuwa yeye ndio yeye akiamua ameamua, akina sisi tulimgomea humu Je, wajua amri za Rais sio final and conclusive?. Zinaweza kupigwa chini na mchanga kusafirishwa?

Kitendo cha kuvunjwa kwa katiba and Chadema did nothing! Kitendo cha kwenda ,UKUTA kudeal na kuvunjwa kwa katiba was nothing!. Tuliwashauri Chadema Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Tukashauri udikiteta haupingwi kwa maandamano bali hupingwa mahakamani. Sasa issue serious kama katiba Chadema hawajafungua kesi, halafu wanakuja kufungua kesi kwa issue ndogo tuu ya kanuni, jee hii ni sawa!. Kama mambo yenyewe ndio haya na yakaendelea hivi hadi 2020, kwa kutegemea kukabidhiwa nchi!, nani hao wa kuikabidhi Chadema ikulu yetu?!.

Hizi hoja kuwa ninajikomba, mimi Paskali nijikombe kwa nani and for what? .

Kitu kimoja muhimu humu JF, ni watu wachache ndio wenye uwezo to read in between the lines na wananielewa, hivyo sorry for not being among them, mwisho wa siku ninachosimamia ndicho kinachotokea!.

Pole.

Paskali
 
Kwani bungeni kila chama kinatakiwa kuleta wagombea wangapi? Kanuni zinasemaje? Majina yatarudishwa hayo hayo tuone sasa.
Soma kanuni ya 4 ya kanuni za uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki ya mwaka 2011. Utaelewa vizuri badala ya kusikiliza wanasiasa wanasema nini kila mara.
 
...Kitu kimoja muhimu humu JF, ni watu wachache ndio wenye uwezo to read in between the lines na wananielewa, hivyo sorry for not being among them, mwisho wa siku ninachosimamia ndicho kinachotokea!.

Pole.

Paskali

Hapo red pameniacha hoi. Sio kweli. Kuna maeneo mengi umeongea lakini hayakutokea (wewe mwenyewe unaijua mifano).
Punguza ramli.
 
Kila nikitafakari, nashindwa kuona kwa nini CDM isipeleke majina zaidi ya mawili kama wagombea wao ili kujaza nafasi zao mbili.

Hivi kila chama kikipeleka idadi ya wagombea sawa na nafasi zilizopo, kuna "uchaguzi"?

Katika nafasi hizo mbili, wamekosa kabisa mwanamama mmoja?
 
WATANZANIA TUSIPOONGEA ILI BUNGE LA AFRICA MASHARIKI LIKASIKIA NA KUWAWEKEA PINGAMIZI CCM WASIVURUGE TARATIBU ZA UCHAGUZI ZA BUNGE HILO, HASA SISI TUNAOATHIRIKA NA MAGOLI YA MKONO TUTAKUWA HATUJALITENDEA TAIFA LETU HAKI.

KWA LEO NAPENDA KUPINGA NA KULAANI KITENDO CHA KUKIUKWA TARATIBU ZA UCHAGUZI WA BUNNE HILO ZILIZOFANYWA NA CCM BUNGENI ....HAKUNA UTARATIBU WA KUPIGA KURA ZA NDIO AU HAPANA MAHALI POPOTE KATIKA BUNGE LA A.MASHARIKI NA IMETOKEA KUWA NI WABUNGE WETU TU WA CDM WAMEKUWA WAKIPIGIWA KURA KWA MTINDO HUO.....IKUMBUKWE KUWA KILA MBUNGE ALITAKIWA KUPIGA KURA TISA LAA SIVYO KURA ITAKUWA IMEHARIBIKA....KWA KUINGIZA TARATIBU BATILI YA KURA ZA NDIO/HAPANA WAMEWEZA KUJIONESHA KUWA WAMEPIGA KURA TISA WAKATI ILITAKIWA KIUHALISIA PASIWEPO HIYO OPTION YA HAPANA NA SISI CDM TUNGEPATA HAKI ZETU BILA PINGAMIZI.

WATANZANIA TUNALITAKA BUNGE LA AFRICA MASHARIKI LITAKAPOKUTANA LILAANI NA KUPINGA UTARATIBU HUU NA TURUDISHIWA WABUNGE WOTE TUWAPIGIE KURA UPYA KWA UTARATIBU UNAOSTAHILI!!
 
Kilichofanywa na CHAEDMA hata kama siyo kosa kikanuni, ilitakiwa hekima zaidi. Sioni mantiki ya kupeleka majina mawali tu wakati wanaohitajika ni watu wawili. Ilikuwa hekima zaidi kupeleka angalao majina manne au matano ili katika hao wapatikane wawili.
Kilichofanywa na chadema ni kukwepa hila za CCM kuwachagulia wapinzani mwakilishi kutokana na wingi wao . .

Tusijifanye hatuoni uhuni wa CCM kuvuruga vyama vya upinzani, ndani ya Bunge na nje ya Bunge . .
Hata mwenyekiti wa CCM amelisema hili mara nyingi hadharani na ndani ya vikao vya siri vya CCM . .

Bila upinzani imara . . , Tanzania itaharibika zaidi . .

Viva CHADEMA . . , Viva Mbowe . .
 
Walisema Pale hawapitishi bali wanapiga Kura. Unaweza kusaidia utaratibu wa kupiga kura watu wawili na nafasi ni mbili na democrasia impe uhuru asiyewataka na ni mpiga kura halali nae kupata hiyo haki.

Kilichofanyika jana ni matokeo ya mjadala sio fitna...
 
Tatizo ni chuki na visasai, mbaya zaidi mtu mwenye akili zake timamu kupokea maagizo kutoka kwa kina Jesca wa kolomije na kupindisha sheria bila kujua wanajichelewesha na wao, aibu sana kwa bunge la Tanzania, Ndugai sasa lazima anaona aibu si kwa upuuzi ule aisee.
 
WATANZANIA TUSIPOONGEA ILI BUNGE LA AFRICA MASHARIKI LIKASIKIA NA KUWAWEKEA PINGAMIZI CCM WASIVURUGE TARATIBU ZA UCHAGUZI ZA BUNGE HILO, HASA SISI TUNAOATHIRIKA NA MAGOLI YA MKONO TUTAKUWA HATUJALITENDEA TAIFA LETU HAKI.

KWA LEO NAPENDA KUPINGA NA KULAANI KITENDO CHA KUKIUKWA TARATIBU ZA UCHAGUZI WA BUNNE HILO ZILIZOFANYWA NA CCM BUNGENI ....HAKUNA UTARATIBU WA KUPIGA KURA ZA NDIO AU HAPANA MAHALI POPOTE KATIKA BUNGE LA A.MASHARIKI NA IMETOKEA KUWA NI WABUNGE WETU TU WA CDM WAMEKUWA WAKIPIGIWA KURA KWA MTINDO HUO.....IKUMBUKWE KUWA KILA MBUNGE ALITAKIWA KUPIGA KURA TISA LAA SIVYO KURA ITAKUWA IMEHARIBIKA....KWA KUINGIZA TARATIBU BATILI YA KURA ZA NDIO/HAPANA WAMEWEZA KUJIONESHA KUWA WAMEPIGA KURA TISA WAKATI ILITAKIWA KIUHALISIA PASIWEPO HIYO OPTION YA HAPANA NA SISI CDM TUNGEPATA HAKI ZETU BILA PINGAMIZI.

WATANZANIA TUNALITAKA BUNGE LA AFRICA MASHARIKI LITAKAPOKUTANA LILAANI NA KUPINGA UTARATIBU HUU NA TURUDISHIWA WABUNGE WOTE TUWAPIGIE KURA UPYA KWA UTARATIBU UNAOSTAHILI!!
Hao chama chakavu ni wapumbavu na mafala kma halima mdee alivyosema
 
Dumisheni demokrasia kwanza.Acheni kulalamika.Mlishindwa nini kuleta Hata watatu?.Hii ni sawa na kuwatukana wana CHADEMA.Kwamba hakuna wengine wazuri kila ni Masha na Wenje tu.Hii ni dharau.Ubunge wa Afrika Mashariki siyo wa kupeana fadhila,au kuwasaidia baadhi ya Watu mnaoona kwamba kwa Wakati huu hawana kitu chochote!
 
Walisema Pale hawapitishi bali wanapiga Kura. Unaweza kusaidia utaratibu wa kupiga kura watu wawili na nafasi ni mbili na democrasia impe uhuru asiyewataka na ni mpiga kura halali nae kupata hiyo haki.

Kilichofanyika jana ni matokeo ya mjadala sio fitna...
Kwenye majimbo watu wanapoletewa mtu mmoja tu na vyama vingine kujitoa huwa tunapiga kura?
 
Ukiwa mkweli daima na ukasimama kwenye kweli, hata kama utabaki peke yako utaendelea tuu kusimama, mwisho wa siku ni ukweli tuu ndio huwa ukasimama mpaka mwisho.
Angalieni hapa nilisema nini kuhusu Chadema na nini kimekuja kutokea? .
Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni .....!

I was dam right. Watu wameichoka CCM mpaka basi, wanataka kuiona Chadema imara, Chadema serious ili Watanzania waiaminie waikabidhi ikulu.

Kitendo cha rais Magufuli kupiga marufuku mikutano ya siasa ni kinyume cha katiba ya nchi. Ukiondoa uhai kwa umuhimu, hakuna kitu muhimu zaidi kuliko katiba. Katiba ndio kila kitu, hata watu humu walipomfanya rais Magufu ndio Alfa na Omega, kuna akina sisi tuliwagomea Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!.

Rais Magufuli alipojitapa kuwa yeye ndio yeye akiamua ameamua, akina sisi tulimgomea humu Je, wajua amri za Rais sio final and conclusive?. Zinaweza kupigwa chini na mchanga kusafirishwa?

Kitendo cha kuvunjwa kwa katiba and Chadema did nothing! Kitendo cha kwenda ,UKUTA kudeal na kuvunjwa kwa katiba was nothing!. Tuliwashauri Chadema Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Tukashauri udikiteta haupingwi kwa maandamano bali hupingwa mahakamani. Sasa issue serious kama katiba Chadema hawajafungua kesi, halafu wanakuja kufungua kesi kwa issue ndogo tuu ya kanuni, jee hii ni sawa!. Kama mambo yenyewe ndio haya na yakaendelea hivi hadi 2020, kwa kutegemea kukabidhiwa nchi!, nani hao wa kuikabidhi Chadema ikulu yetu?!.

Hizi hoja kuwa ninajikomba, mimi Paskali nijikombe kwa nani and for what? .

Kitu kimoja muhimu humu JF, ni watu wachache ndio wenye uwezo to read in between the lines na wananielewa, hivyo sorry for not being among them, mwisho wa siku ninachosimamia ndicho kinachotokea!.

Pole.

Paskali
Paskali unataka kutuambia kile ambacho ulishauri kwenye bandiko lako jana kina reflect kilichotokea kwenye uchaguzi? How? Katika hoja yako jana ulikuwa ukiwashauri na kuwabeza CDM kwamba wasiende kortini baada ya kutolewa taarifa kwamba CDM hawakutimiza matakwa ya kikanuni ikiwemo suala la gender balance. Lakini kabla CDM hawajaenda kortini wakawa wameruhusiwa kushiriki uchaguzi na kura zikapigwa kwa maana ya kwamba hoja ile ya kutofuatwa kwa kanuni haikuwa na mashiko kwa mujibu wa taratibu na sheria za uchaguzi wa EALA. Hii maana yake ni kwamba hata ushauri na kubeza kwako hakukuwa na mashiko!

Sasa CDM wanasema wanataka waende kortini kupinga kilichofanyika kwenye uchaguzi naona umeibuka tena ukitumia andiko hilo hilo la jana kama reference. Kinachonishangaza ni kwamba badala ya wewe uwaunge mkono CDM kwenda kortini (hata kama madai yao na yako yatakuwa tofauti kidogo) lakini bado unaendelea kuwaponda na kuwabeza!

Kama jana uliandika andishi refu ukiunga mkono uamuzi wa CDM kuwekewa ngumu kushiriki uchaguzi huo hadi wakidhi kilichodaiwa kuwa ni matakwa ya kikanuni, lakini baadaye wakaruhusiwa huoni kwamba uchaguzi ule ulifanyika pasipo kuzingatia taratibu za kikanuni zinazosimamia uchaguzi huo?
 
Kwenye majimbo watu wanapoletewa mtu mmoja tu na vyama vingine kujitoa huwa tunapiga kura?
jomboni sio bungeni, walijadili tukawaona kwa bunge nini kifanyike, na ndicho walichokifanya kama kingekuwa kinyume na makubaliano wangegoma na kuandamana. Tuache kushabikia ujinga tunapoteza muda.
 
Kwani zile nafasi mbili si bado zipo? ni kuongeza tu majina mengine na mambo yakaendelea?, ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom