Mbowe/Dr Slaa: vyama vinapita,utanzania unabaki,tusigombane

siku hizi kidogo wameanza kuwa na akili, kama mlikuwa mnajua hivyo kwa nini mliwapeleka watu katika maandamano ya Arusha, leo ndio mnakuja kujua hayo kuwa vyama vitapita lakini undugu utaendelea, CUF walijua hivyo miaka 5 iliyopita.
 
Hahaha Chadema wamechelewa sana.its over now naona wamerusha taulo finally.

Hata hivyo nimpongeze maneno yake yanaonesha ameanza kukomaa.
 
siku hizi kidogo wameanza kuwa na akili, kama mlikuwa mnajua hivyo kwa nini mliwapeleka watu katika maandamano ya Arusha, leo ndio mnakuja kujua hayo kuwa vyama vitapita lakini undugu utaendelea, CUF walijua hivyo miaka 5 iliyopita.

We mbona unaongea km Mtatiro Julius, una undugu nae?.
 
hakuna shida kwa sasa undugu na ccm una dosari wasali vizuri watumie mipesa wabunge we2 waliopigwa mwanza wapone kabisa maana likitokea baya ni heri taifa lijue amani itakuwa historia kwa mtazamo wangu
 
siku hizi kidogo wameanza kuwa na akili, kama mlikuwa mnajua hivyo kwa nini mliwapeleka watu katika maandamano ya Arusha, leo ndio mnakuja kujua hayo kuwa vyama vitapita lakini undugu utaendelea, CUF walijua hivyo miaka 5 iliyopita.

Midude inayofikiri kinyume kama hii ni hatari!! huoni unapotosha wewe "thats only rencons speech" hivi Mandera angeamua kuwarudi wazungu baada ya kuwa raisi wa rsa ingekuwaje! jiongeze wewe hapa si kwa watu wenye akili kama yako sawa na Lusinde.
 
siku hizi kidogo wameanza kuwa na akili, kama mlikuwa mnajua hivyo kwa nini mliwapeleka watu katika maandamano ya Arusha, leo ndio mnakuja kujua hayo kuwa vyama vitapita lakini undugu utaendelea, CUF walijua hivyo miaka 5 iliyopita.
hapo kwenye red kama una kamusi karibu na wewe itumie ikusaidie,wana wa israeli wakati wantoka utumwani Misri walitoka kwa maandamano hadi kanani kwa upendo na amani hivyo CDM inafanya,
 
Ni hivi
JINO KWA MENO, FIMBO KWA RUNGU, JIWE KWA RISASI............
Kwa maana nyie wamagamba ustamilivu umewashinda! Haiwezekani muwa kate mapanga wabunge wetu, mteke nyara wanachama wetu huku tukiwaangalia tuu
 
Back
Top Bottom