Mbowe aelezea alivyonusurika kuuwawa June 2013 Soweto Arusha

Huyu nae atupumzishe kwanza ! Sisi tunachotaka Toka ni uchaguzi wa chama utafanyika na yeye atakabidhi lini madaraka? Hayo mengine ni ya kawaida hata sisi huwa tunatekwa huku mtaani
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4

Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga kuripua Fuso kwa Bomu ifikapo Saa 12 wakati wa kufunga Mkutano na Wangewaua Viongozi Wote wa Chadema Taifa na Kanda

Lakini Mungu bariki Saa 11:28 Wananchi waliniomba nishuke kwenye Fuso Ili wanichangie Fedha za Kuwapa Mawakala kwa ajili ya Maji maana kulikuwa na Chaguzi za Madiwani so kitendo cha kushuka ndio kilituokoa.na Vifo

Mbowe amesema tukio lile linamuumiza hadi leo kwa sababu kuna Akina mama na watoto waliuliwa

Credit: Twaha Mwaipaya X

Ikumbukwe 2013 Shujaa Magufuli hakuwa Rais
Mtu damu yake iliyomwagika na kunusirika kifo halafu akafanywa tambara la deki ni dkt slaa na mkewe mushumbuzi mpaka leo ushahidi upo hizo paukwa pakawa za Mbowe akapigie wajukuu zake!
 
Ikumbukwe jiwe ndiye aliyempiga risasi Lisu, aliwaua watu wengi sana wakiwemo waliookotwa ufukweni kwenye viroba, Ben Sa8 na Azory Gwanda, n.k. Pia akipora mali za wafanyabiashara, aliteka watu , na mengine mengi.

In short, jiwe hakuwa rais wa nchi hii.
Mbowe hajazungumzia hao Bwashee 😄😄🔥

Mbowe amesema kama siyo Wanachadema wa Arusha basi Viongozi Wote wangefia juu ya Fuso na Leo tusingekuwa na Chadema 😂😂
 
Labda unavyo wewe. Binafsi sina vyeti feki. Baada ya kuondoa vyeti feki mbona alishindwa kuongeza mishahara
Hovyo wewe
Kwamba mishahara unaongeza tu kama unagawa uji wa kwenye hitma.? Hata usipo perfom..au kwa sababu hizo hela hazina mwenyewe?
 
Aisee, jamaa kakwepa mishale mingi
Live long Mbowe
Watu wengi ambao hufeli kidato cha nne kwa kupata zero huweweseka na kupata kichaa kama kile cha madogi na kuanza kuwaza mambo mengi yasiyokuwepo hiyo inaitwa ibilisi jini maimuna, illusions na hallucinations! Ni mental health problem!

Hivi nani anaweza kuwa na shida ya kuua walevi kama DJ! Kweli? seriously?
Hivi ukishaua mlevi DJ sasa wazungu watajuaje bongo tuna upinzani, na ina maana wazungu wakate mpunga wa chama kile? Wale walafi hawawezi kukubali hilo litokee daima milele, kiongozi mzuri wa upinzani hatakiwi kuwa msomi na mwenye akili!!! Anatakiwa kuwa na akili kama za Barbeque wa Haiti! Eti gang leader anaamini ataishinda sirikali!

Mbona tuliona Dom pale DJ alizidiwa kwa ulevi akila ruzuku ya chama peke yake laana ikampiga akapigana ndondi za maana na mchepuko Joyce, akazidiwa na Beijing aliepata nguvu mpya baada ya kusherehekea siku yao ya kina bimkubwa duniani, basi unaambiwa kilaji pesa ya ruzuku kimekolea DJ akaangushwa kama gunia la mahindi na mchepuko Joyce , DJ akapigwa na mwanamke akaumia vibaya meno akatema mawili akaita ambulance 🚑 akasingizia eti kapigwa na majambawazi!! Kumbe ulevi na Joy ndo wahusika!!!

Hizi kamba zingine za DJ Mabowe haziingii kichwani!
 
Nachukia UOVU hivyo naichukia saana saaana SISIEMU!!!
Hata agombee nani siwezi kuunga mkono hiki chama kwa kura yangu!
Hakuna kitu nasubiri Kwa hamu kama anguko la SISIEMU wakati huo nchi itakuwa imekomboka Toka vitisho,woga,ujinga na umasikini
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4

Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga kuripua Fuso kwa Bomu ifikapo Saa 12 wakati wa kufunga Mkutano na Wangewaua Viongozi Wote wa Chadema Taifa na Kanda

Lakini Mungu bariki Saa 11:28 Wananchi waliniomba nishuke kwenye Fuso Ili wanichangie Fedha za Kuwapa Mawakala kwa ajili ya Maji maana kulikuwa na Chaguzi za Madiwani so kitendo cha kushuka ndio kilituokoa.na Vifo

Mbowe amesema tukio lile linamuumiza hadi leo kwa sababu kuna Akina mama na watoto waliuliwa

Credit: Twaha Mwaipaya X

Ikumbukwe 2013 Shujaa Magufuli hakuwa Rais
Funny Fact tukio hili halikufanywa na ccm wala chadema pia sio serikali
Kipindi cha j.k kuna vikundi vilisambaa kimya kimya vikiwa financed na watu kutoka kuwait wakidanganya serikali ni misaada ya kawaida ila chini yake wakaeneza elimu chafu
Maeneo waliosambaa ilikuwa znz entrance na ideology formation....bagamoyo ilikuwa kambi ndogo...... tanga mwanza na arusha...na morogoro kwa mbali

Basi 2015 jk anakuja kushtuka kuwa misaada ya kuwait haikuwa na nia njema akaanza kudeal nao bwana akakata finance zao vikundi vya hovyo baada kukosaa vikaanza kujitokeza nje

J.k akamaliza term ya baadhi ya watu wakiwa jela wengine mama kawatoa ila jk alideal nao haswa na anawajua vizuri mno

Basi magu akaingia akafyeka vikundi vyote hivyo kwa mkono wa chuma ....hali ikawa shwari
 
Kwamba mishahara unaongeza tu kama unagawa uji wa kwenye hitma.? Hata usipo perfom..au kwa sababu hizo hela hazina mwenyewe?
Kuongeza watumishi mishahara ni takwa la kisheria. Ukiona kiongozi mkuu ana kataa kufanya hivyo kwa kisingizio cha kujenga sijui matundu ya choo sijui nn huyo anavunja sheria adhabu yake ni kabur
 
Back
Top Bottom