Mbona wengi huwa hawakujifunza kwa ile operesheni ya Israel, almaarufu kama Wrath of God

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Waisraeli wanaamini ukiua mmoja wao, hata ujifiche wapi kwa namna moja au nyingine watakukuta tu hata kama itachukua miaka hamsini, watakuwinda kwenye pembe zote za dunia. Kwa mfano ma-NAZI waliohusika kwenye maamuzi ya kuua Wayahudi, pindi baada ya Hitler kupigwa halafu Ujerumani kuangushwa, wengi walikimbilia mafichoni nchi za mbali, wakaji-mix kwenye maisha ya kawaida mitaani hususan kule Marekani ya Kusini, ila huko huko walikutwa tu, kunao waliliwa shaba wakiwa wazee kabisa, yaani kwa Myahudi hata uzeeke, kama wana kisasi na wewe watakutafuna tu.

Kuna kundi la magaidi wa Kipalestina kama kawaida yao waliingiwa na ule mzuka wa dini wakaenda kuua wanariadha wa Israeli mwaka wa 1972, kisha baadhi yao wakafaulu kuponyoka na kuishi mafichoni, ila huko huko walianza kudondoka mmoja baada ya mwingine.

Jamaa hata ukikimbia uende kijijini kuuza mkaa uji-mix na wanavijiji, huko watakunusa nusa na kukufyatua, wana mbinu zao zisizo za kawaida, na wavumilivu zaidi ya balaa, wakipata fununu umekimbilia sehemu fulani, atakuja mtu afungue duka hilo sehemu na kujifanya mzawa wa hapo, ataishi hata miaka kumi anakuwinda tu...

Wenyewe hula kiapo kinachoitwa "Samson Option" pale maeneo ambapo Samson aliangusha zile nguzo mbili na kufa na Wafilisti, wanaamini kama mkiwafikisha ukingoni, basi hawatakua na budi ila kukinukisha duniani, na ndio mojawapo wa sababu kubwa Marekani hutumia nguvu nyingi kuzuia, maana Waarabu wakiingiwa na mizuka ya dini hujisahau wanaanza kauli za kutaka kuifuta Israel, wanasahau kuthubutu kuifuta hiyo nchi yenye silaha za nyuklia ni kutafuta na wao wafutwe ukanda wote huo.....na kuanzia hapo dunia ichafukwe.
=============================

Operation Wrath of God, covert assassination campaign carried out by Israel to avenge the kidnapping and murder of 11 Israeli athletes by Palestinian militants in September 1972 at the Munich Olympics.

Although Israel had historically targeted the leaders of organizations such as Fatah, the Palestine Liberation Organization (PLO), and the Popular Front for the Liberation of Palestine (PFLP), the frequency of such assassinations by Israel escalated dramatically in the wake of the massacre in Munich. A secret Israeli committee chaired by Prime Minister Golda Meir and Defense Minister Moshe Dayan is said to have authorized the assassination of everyone directly or indirectly involved with Black September, the Fatah-affiliated group that had orchestrated the Munich killings. The Wrath of God hit squad—code-named Bayonet—was made up of members of Mossad, Israel’s foreign intelligence agency, and supported by special operations teams from the Israel Defense Forces (IDF). The group spent years tracking down and killing those suspected of planning or participating in the Munich massacre. Three of the eight militants who had killed the athletes survived the massacre and were released weeks later from custody by the West German government in exchange for the crew of a hijacked Lufthansa jet; the other five died in a gun battle with police during a failed attempt to rescue the hostages.

The hit squad first killed Wael Zwaiter, a PLO organizer and cousin of Yāsir ʿArafāt, shooting him in the lobby of his Rome apartment building in October 1972. Mahmoud Hamshari, the PLO representative in Paris, was targeted next. After a Wrath of God member, posing as an Italian journalist, scheduled a telephone interview with Hamshari in December 1972, Wrath of God explosives experts broke into his home and planted a bomb in his telephone. Hamshari was called at the time arranged for the interview, and, when he identified himself, the bomb was activated remotely. He died in the explosion.
 
Ukraine vp mkuu naona umewatenga kabisa umehamia israel na palestine maana kule umetudanganya sana mara maeneo yamerudishwa mara russians wamezungukwa wanajisalimisha sasa hv uongo wake umeuhamishia middle east
 
Popote kambi, kimsingi haja yangu nikuona mnapokea kichapo popote mnashabikia, mlichekelea Israel kushambuliwa, leo mnalia lia.....
Putin bado naye anapokea dozi... Warusi wamefukuzwa Robotyne’s
 
Netanyahuu leo kawaambia Hezbollah wanacheza na hatari sana kurushia rushia Israel makombora wataiponza Lebanon

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
ukiangalia macho ya kivita utaona mlemgwa atakayeteketezwa hapo ni Iran na kutokomeza kabisaa utawala wa kikatili wa hayatollah. alichokifanya hapo gaza Iran ni kuvuruga mazungumzo ya kuwapatanisha Saudi arabia na Israel. sasa watu waishi kiuadui mapaka lini ikiwa wote ni waarabu tuu. Abraham ni mwarabu wa Iraq sasa ukitaka kiukweli kweli kuchimba wapi israel arudi basi tafuta kiande Iraq cha ardhi ili wajukuu zake wa kiisrael wakaishi. na kama huwezi basi ombea kila siku Hamas anyongwe.
 
Ukraine vp mkuu naona umewatenga kabisa umehamia israel na palestine maana kule umetudanganya sana mara maeneo yamerudishwa mara russians wamezungukwa wanajisalimisha sasa hv uongo wake umeuhamishia middle east
kama ubao ungekuwa vby kwa Ukraine bas RT wangetangaza
 
ndo mada gani sasa? akili yako ndoisha logwa tena,wenzako huko washatoka wanawaza jinsi ya kujenga makazi katika sayari ya mars we unatuletea propaganda za kipuuzi na hadithi za kusadikika,ama kweli tunasafari ndefu katika kufika kiwango kikuu cha maarifa kama walivyo wenzetu,kwa hiyo mkuu mtu akiua familia yako utamwacha tu.hahaha et samson,umeshindwa kujadili miaka 30 ya mkataba wa bandari ,unatuletea ujinga ambao umesababisha sisi kutojielewa et samson itusaidie nini sasa?
 
Back
Top Bottom