Mbona uyu jamaa kamganda uyu dada ingawa upendo umeisha

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
NDIKU.jpg mbona jamaa kamganda uyu dada ingawa uwoya aonyeshi tena upendo kwa jamaa
 
si mke wake huyo jamani! Au umesahau 'Till death do as apart' hichi kiapo huwa ni noma.
 
Nyie ndo wambea sasa!Mambo ya wanandoa we yanakuhusu nini? Ulijuaje juaje kuwa Irene haonesho upendo kwa jamaa yake? Mbona wewe yako hayasemi? Kama vipi lete hoja zaa msingi na uachane na mambo ya watu
 
Back
Top Bottom