Mbona sijasikia watu wakiweka thread ya kuwathamini wadau ktk kuleta mapinduzi?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Humu ndani tutahukumiwa kwa kutowataja wadau wa mabadiliko tanzania.
Wangu ni hawa na ninawapongeza na kuwapa moyo,najua kuna maeneo walijikuta wanajiuliza mara nyingi kuhusu njia wanayoifuta.Haswa kipindi kilichokuwa cha hofu zaidi ya sasa:
-JF
-Mwanahalisi
-ITV
-LHRC
-Mtikila
-CDM.
 
-Raia Mwema
-This week in perspective
 
Back
Top Bottom