bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,167
Unawaona vijana wa swissm lakini ambao hawaja fika kikomo mwingine akililia sanamu ya diamond na kuvuliwa kibarakashee na mwingine akililia bunge live lisionyeshwe.Tatizo vyama vya upinzani na wapinzani uwezo wa kufikiri umefika kikomo maana hawataki kuendana na mazingira tuliyo nayo kwa sasa.
Kati ya hawa na vijana wa upinzani ni nani kafikia kikomo kufikiri na kuanza comedy kama si vioja tena sehemu inayoitwa Takatifu.