D Dopas JF-Expert Member Aug 14, 2010 1,151 392 Apr 15, 2011 #1 Mama Salma Kikwete azindua moja ya jengo la wodi ya wazazi wiliyani Nanyumbu, tazama picha hapa...View attachment salma.docx
Mama Salma Kikwete azindua moja ya jengo la wodi ya wazazi wiliyani Nanyumbu, tazama picha hapa...View attachment salma.docx
Ms Judith JF-Expert Member Dec 24, 2010 2,563 918 Apr 15, 2011 #2 haha, karimjee style!! yaani watoto wamesombwa kuja kutimiza akidi??
N Nguto JF-Expert Member Apr 11, 2011 3,669 1,791 Apr 15, 2011 #3 Walikosa watu wazima mkuu wakasomba watoto! Mambo ya CCM hayo!!!!!!!!!!!!!! WAtu wamechokaaaa!!!!!!!