Mbona Mchungaji Msigwa alikataa ofa ya kulipiwa faini na Shujaa Magufuli ili atoke Jela? Mbowe asidhani ni Yeye tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Huyu mbunge wangu mstaafu mchungaji Msigwa ndiyo naweza kusema ana spirit ya Upinzani na hana bei

Fikiria namna alivyomkatalia Rais wa awamu ya 5 Shujaa Magufuli aka Jiwe asimlipie Faini na kumtoa Jela huku Komredi Polepole akiwa ameshafika gerezani kumtoa

Halafu leo mwenyekiti wa Chadema anasema duniani kote mtu hakatai iwe apology au nini sijui!

Akina mchungaji Msigwa, Sugu na Heche waachiwe jukumu la kutuongoza Mapambano ya katiba mpya

Mlale Unono
 
Back
Top Bottom