Mbio za kumrithi Lema zimeanza Arusha wanachama wa Chadema wajitokeza kwa wingi

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,964
32,357
Wanabodi.

Kwa mujibu wa habari kutoka Arusha zinasema kuwa makada wa Chadema wametajwa kuanza kupigana vikumbo vya kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.

Taarifa hizo zimewataja walianza mkakati wa kuwania kuteuliwa na Chadema ni Mkurugenzi wa kampuni ya Horizon Group, Brighton Mushi, Calist Lazaro, diwani wa kata ya Levolosi Afatha Nanyaro, diwani wa kata ya Mabogini wiliyani Moshi vijijini, Albert Msando, Victor Njau, Dereck Magoma.

Kinachosubiliwa ni rufaa ya Lema, kila mmoja amekuwa akiungwa mkono na kundi lake katika mbio za kumrithi Lema wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Taarifa hizo zimetaja mbunge wa jimbo la Moshi mjini Phillemon Ndensamburo kumpigia debe Msando ndani na nje ya chama hicho kwa lengo la kumjenga wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.
 
Wewe inakupasa upewe 'kitchen part' na watoto wa mzee Ben Mkapa.
Kwani wao walijiweka mbali sana na politics kipindi baba yao akiwa in power 'president'
mbona hatuwasikii watoto wa pinda?
Hata watoto wa Nyerere walikuwa mbali sana na political scenes wakati mzee wao akiwa president.
Just ushauri tu...
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa habari kutoka Arusha zinasema kuwa makada wa Chadema wametajwa kuanza kupigana vikumbo vya kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.

Taarifa hizo zimewataja walianza mkakati wa kuwania kuteuliwa na Chadema ni Mkurugenzi wa kampuni ya Horizon Group, Brighton Mushi, Calist Lazaro, diwani wa kata ya Levolosi Afatha Nanyaro, diwani wa kata ya Mabogini wiliyani Moshi vijijini, Albert Msando, Victor Njau, Dereck Magoma.

Kinachosubiliwa ni rufaa ya Lema, kila mmoja amekuwa akiungwa mkono na kundi lake katika mbio za kumrithi Lema wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Taarifa hizo zimetaja mbunge wa jimbo la Moshi mjini Phillemon Ndensamburo kumpigia debe Msando ndani na nje ya chama hicho kwa lengo la kumjenga wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Mkuu Niongezee na Mimi katika hiyo Orodha
 
Mbona na wewe hujitaji kuwa ni mmoja wanaowania kuteuliwa na chama chako cha magamba kuwania jimbo hili
Maana mambo kurithishana eti si unaona Mwinyi, Bilal, Malima, Makamba, Kawawa, Sokoine, Malecela, Lowassa,
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa habari kutoka Arusha zinasema kuwa makada wa Chadema wametajwa kuanza kupigana vikumbo vya kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.

Taarifa hizo zimewataja walianza mkakati wa kuwania kuteuliwa na Chadema ni Mkurugenzi wa kampuni ya Horizon Group, Brighton Mushi, Calist Lazaro, diwani wa kata ya Levolosi Afatha Nanyaro, diwani wa kata ya Mabogini wiliyani Moshi vijijini, Albert Msando, Victor Njau, Dereck Magoma.

Kinachosubiliwa ni rufaa ya Lema, kila mmoja amekuwa akiungwa mkono na kundi lake katika mbio za kumrithi Lema wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Taarifa hizo zimetaja mbunge wa jimbo la Moshi mjini Phillemon Ndensamburo kumpigia debe Msando ndani na nje ya chama hicho kwa lengo la kumjenga wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Ritz bwana......

Weekend imeanza mapema kaka.

Anyways,Kamanda Alert Msando ni kamanda wa ukweli.Hata hivyo bado chama hakijafikia huku mkuu.Acha kupima upepo!
 
Rufaa yake imekaa vibaya ni lazima wajipange upya.

Kuna mawili kwenye rufaa kushindwa au kushinda.

Nadhani hawatamsimamisha tena Lema.
 
Mkuu ritz.
Ungetulia na kuachana na haya mambo ya politics (for now).
Sijawai kusikia watoto wa Mzee Mkapa wapo UVCCM au wapo dodoma kwenye mambo ya chama au something alike.
Tulia sasa kama kuaribu, mshaaribu vya kutosha, jifunze kutoka kwa watoto wa marais waliopita...
 
Mwanasheria wa kujitegemea wa jijini Arusha, Victor Njau nimeongea naye kwa simu nimemuuliza vipi mkuu unajitosa Arusha Mjini, ananimbia naweza kugombea bado natafakari ngoja kwanza tusubiri hukumu ya mahakama.
 
:crutch:Aaah haya mambo bwana CCM wamedhamilia kuvuliwa nguo. Hakika mchakato ukianza CDM lazima watachukua hilo Jimbo. Walichokifanya MAGAMBA/CCM ni kukitangaza CDM kwa watanzania ili waridhie mageuzi 2015......:smash:
 
mbona umemsau Matola? mimi ndio chaguo la Chadema Arusha mjini!!.... Lema na wengine wote nitwaangusha vibaya mno.
Chekelea basi kidogo Ritz.....
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa habari kutoka Arusha zinasema kuwa makada wa Chadema wametajwa kuanza kupigana vikumbo vya kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.

Taarifa hizo zimewataja walianza mkakati wa kuwania kuteuliwa na Chadema ni Mkurugenzi wa kampuni ya Horizon Group, Brighton Mushi, Calist Lazaro, diwani wa kata ya Levolosi Afatha Nanyaro, diwani wa kata ya Mabogini wiliyani Moshi vijijini, Albert Msando, Victor Njau, Dereck Magoma.

Kinachosubiliwa ni rufaa ya Lema, kila mmoja amekuwa akiungwa mkono na kundi lake katika mbio za kumrithi Lema wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Taarifa hizo zimetaja mbunge wa jimbo la Moshi mjini Phillemon Ndensamburo kumpigia debe Msando ndani na nje ya chama hicho kwa lengo la kumjenga wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.
Vipi CCM mmeshapata wa kumsimamisha...CHADEMA wamesema wataweka jiwe kupambana na CCM?
 
Mzoga at work. Leo ni ijumaa, umeswali kweli au ni bla blaa tu.

Mkuu, najua unaipenda sana Chadema pamoja na Lowassa, jaribu kutumia lugha za kiungwana Mods wakikupiga ban ulalamike.
 
Ukweli unauma sasa hivi ulipaswa kuwa msikitini una harisha tu hapa JF katawaze basi.....
 
Mwanasheria wa kujitegemea wa jijini Arusha, Victor Njau nimeongea naye kwa simu nimemuuliza vipi mkuu unajitosa Arusha Mjini, ananimbia naweza kugombea bado natafakari ngoja kwanza tusubiri hukumu ya mahakama.
Sijawahi kuona ukichangia masuala muhimu ya kitaifa kama katiba wewe ni chaguzi tu ambazo mwisho wake huwa mnaangukia pua.
 
Rufaa yake imekaa vibaya ni lazima wajipange upya.

Kuna mawili kwenye rufaa kushindwa au kushinda.

Nadhani hawatamsimamisha tena Lema.
2992062-xs.jpg
 
Back
Top Bottom