Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Hiyo mbinu umeibuni wewe kwa sababu zako binafsi
Kama hutaki kuchangia topic c ukae kmy?

Mara nyingi wasichana wamekua wakifanya hivi kutokana na sie wazazi tunavyo wa treat,house girl nae ni binadamu anahitaji siku ya kupumzika at least ile siku hauendi kazini umpe off yake nae aende anakojua na arudi muda muafaka waschana wa siku hizi miaka 15 anajua kila kitu,ukimpa off yake once a week atajua aitumieje kama ana BF wake atenda kukonga moyo wake na atarudi muda alopangiwa,akiwa mlokole ataenda kanisani nk.usipofanya hivi iko siku piriton zikiisha anaweza kumfungia mtoto kwenye Freezer ukirudi unakuta kitoto kimekauka nae kaishia zake jumla,house girl ni mtu wa kuishi nae kama mwanano anaweza hata kukuua wewe na familia na akatokomea NA WASIJUE ALIPO,anaweza akatia hata sumu ndani ya chakula na mkirudi mnakula nyumba nzima wewe mumeo na watoto na kudhurika yeye huyo ametokomea,

Swali ambalo najiuliza mpaka walipofikia hatua ya kugunda kuwa anamnywesha piriton huyo mtoto, Je huyu msichana wa kazi atakuwa amefanya hivyo mara ngapi mpaka walipokuja kugundua ni hatari sana namna hii
Namna hii hatari sana sasa siku ya siku amemuova dozi mtoto wa watu sijui ingekuwaje, mimi nafikiri cha msingi bora huyu mama ampe ruhusa huyu binti afanye mambo yake otherwise iko siku atakuta mtoto wake amekakamaaKwa huyu inaonekana ni kama miezi mitatu au minne hivi ndio kipindi ambacho hg alianza kuwa close sana na shoga yake(house girl wa jirani aliyempa mbinu) na ndicho kipindi mama mtoto alianza kutia shaka kwa kuwa kila akipiga simu kuuliza kama mtoto anasumbua akawa anaambiwa hasumbui,amekula na amelala!!!Lakini mama alikuwa anaona kama kuna utofauti kwa kuwa mwanae ni msumbufu kidogo hasa kulala yaani hadi umbembeleze sana,inawezekana hg ndio alianza kutumia short kati hiyo...!!