Mbinu ya kupata unachohitaji kutoka kwa mtu

Ndugu wana JF. Wanadamu tumezungukwa na mahitaji mbalimbali. Wakati mwingine tunafanikiwa kupata tunachohitaji na wakati mwingine hatufanikiwi. Mbinu mojawapo ya kufanikiwa kupata kitu unachohitaji kutoka kwa mtu ni kumtega kimazungumzo. Kwa mfano unahitaji mtu akuazime gari yake. Endapo utamwambia moja kwa moja akuazime anaweza kukwambia gari hiyo sio mali yake. Hivyo unaweza kumtega kwa kumuuliza "...gari yako umenunua kiasi gani?" Bila shaka atakujibu "...shs milioni kadhaa" Kwa jibu hili atakuwa amejifunga kimazungumzo bila ya kujua lengo lako. Hivyo itakuwa rahisi kwako kufanikiwa kulipata endapo utamwomba akuazime ili ulitumie kwa siku hiyo. Jaribu kutumia MBINU hii uone jinsi utakavyofanikiwa.

VIMADA. ??? wewe ni kimada wa nani
 
yahaya unaishi wapi? uyu kijana mwenzetu kila siku tunaye maskan. Anakula ofa za watu anapoishi apajulikani.

gari za kuazima. nguo za kuazima. wanajitengenezea business card na kazi inaonyesha yeye ni mkurugenzi wakat hafanyi kazi yoyote kula kulala. usharobaro mwingi. Uishi kulingana na kipato lasivyo utabebwa chuma
 
Nyumba no haijulikani Yahaya eeeeee......
 
Sipendi mijitu inapenda kuazima gari hovyo hovyo kwa wenzao tena wiki end. unakuta mtu eti nimepata dem mpya nataka nimpeleke bagamoyo niazime gari shiit. kwa nini usikodi tax au upande dala dala. "Vya kuazima havisitiri ------"
mkuu we unakuwa kama mgeni hapa duniani?
we dem mara ya kwanza ndo umemwona/ anataka umtafune alafu unampandisha kosta tena akamate bomba........... papuchi utaisikia tu watu wanasimulia..............
 
Ha ha Mkuu Mabreka kwa hiyo hapo lengo ni kupata tu papuchi kwa expense ya mwenzio. mi kuazima azima vitu kwa kweli sipendi kabisa hasa kwa ajili ya papuchi bora kama ni enterview.
 
Ndugu wana JF. Wanadamu tumezungukwa na mahitaji mbalimbali. Wakati mwingine tunafanikiwa kupata tunachohitaji na wakati mwingine hatufanikiwi. Mbinu mojawapo ya kufanikiwa kupata kitu unachohitaji kutoka kwa mtu ni kumtega kimazungumzo. Kwa mfano unahitaji mtu akuazime gari yake. Endapo utamwambia moja kwa moja akuazime anaweza kukwambia gari hiyo sio mali yake. Hivyo unaweza kumtega kwa kumuuliza "...gari yako umenunua kiasi gani?" Bila shaka atakujibu "...shs milioni kadhaa" Kwa jibu hili atakuwa amejifunga kimazungumzo bila ya kujua lengo lako. Hivyo itakuwa rahisi kwako kufanikiwa kulipata endapo utamwomba akuazime ili ulitumie kwa siku hiyo. Jaribu kutumia MBINU hii uone jinsi utakavyofanikiwa.
Una shida ya magari ya kuazima weye?njoo huku zenji sie hatuna hiyana tumeyafungia tu bandani ,huna haja ya kututega njoo tu uazime hata nyumba ukitaka ,hatupangishi sie tunajenga halafu tunawaazima watu kama nyie njoo kijana uje kula raha huku!njo tukupembejee,njoo uje ulelewe,njoo tukupumbuze kwa vijizawadi,njoo tukubarikie mambo mazuuuri kijana huna haja ya kuzua uongo sema tu utakakacho utapewa!vipi nikupatie ticketi ya ndege au ya boti?njoo tukufanyie ihsani!
njoo uhabbibike kijana!tukufanyi hubba kwa kukupa mali zetu inshalla nawe siku za mbele utatukirimu tu kwa tuvipendavyo pia!
 
Nilikuwa sijui kama wapem... ni MAFIRAUNI. Usiwadhalilishe wenzio ww.
 
usipende vya bure bure kaka utapakatwa...usipende vya bure bure jitume utapata (kwa sauti ya ney wa mitego)

#kunjani kuti
 
Nenda kapande ng'ombe wa baba yako utaazima mpaka lini? Huo ni ushamba na kutopenda kujishughulisha
 
Back
Top Bottom