Mbinu Aliyotumia Ben Kuuza BIMA za Thamani ya US Dollar 13 Milioni!..

Seif Mselem

JF-Expert Member
Oct 16, 2023
257
441
…mwaka 1942 katika Mji wa Liverpool nchini Uingereza…
.
Alikuwepo Muuzaji mmoja Hatari sana kuwahi kutokea aliyekuwa anaitwa…
.
“Ben Feldman”
.
Ben alikuwa anauza…“Life Insurance”
.
Ambazo Mfano wake ni Kama vile…
.
Bima za Afya
.
Bima ya Maisha
.
Nk…
.
Vile Vile…
.
Ben aliwahi kutajwa kama ndiye Muuzaji namba moja wa Bima kwa mujibu wa kitabu Maarufu cha Kumbukumbu za Record za Dunia…
.
"Guinness World Records"
.
Yaani…The Number One Salesman in the World!
.
…kipindi hicho Ben anauza BIMA Ohio, Liverpool
.
(Ambako alikuwa Akiishi na Familia yake)
.
Kulikuwa na Idadi ya watu chini ya… 20,000
.
Kutokana na Idadi ndogo ya watu na huku Akitaka kila anapomaliza Kufanya kazi Jioni arudi nyumbani kwake kwaajili ya Msosi wa Jioni na Familia...(Dinner)!
.
Ben aliamua Kuja na Mbinu moja Hatari ya Kuuza huduma zake bila Kuharibu Ratiba ya kazini Kwake na Familia yake…
.
Alikuja na Mbinu Inayoitwa…
.
“Geographical Strategy Selling”
.
Yaani…
.
Alikuwa anachora Duara kwenye Ramani ya Ukutani...Lenye Urefu wa mile 50 ambazo ni sawa na Kilomita Themanini (80 km)...
.
Kisha alikuwa anajiwekea Nidhamu ya...
.
Kufanya kazi zake Ndani ya hilo eneo la Duara alilochora Ili aweze kuwahi kurudi na kwenda kula Dinner na Familia yake
.
Na…
.
Baada ya Miaka 50 mbele eneo la Ohio, Liverpool lilibaki...
.
Kuuwa na Idadi ile ile ndogo ya watu na Ben alitumia kipande hicho hicho kidogo…
.
Kuwinda na kutafuta wateja wake kila siku na Mwisho hadi Siku anakufaa...
.
Alikuwa ameshatengeneza zaidi ya $ 13 Millioni kama Faida kwa kuuza Bima pekee yake!
.
Na...
.
Kuingia kwenye Rekodi ya Kitabu cha Guinness kama Muuzaji bora wa Muda wote.
.
So, Nini LESSON ya Story hii ya Ben?..
.
Ukweli ni Kwamba...
.
Hata wewe Kama uko kwenye Biashara yoyote ile kabla hujaanza kutangaza na kuipigia promo bidhaa/huduma unayouza kwenda Mitaa ya mbali au Mitandaoni…
.
Basi ANZA kwa Kuitangaza na Kuiuza kwa Majirani na watu wako wa Karibu na pale Unapoishi...
.
Kwasababu...
.
Watu wa karibu yako ni Watu ambao tayari...
.
Wanakupenda,
.
Wanakuamini,
.
Na...
.
Wanakuju...
.
Kwahiyo kununua kutoka kwako Inakuwa ni RAHISI Ukilinganisha na Wateja wako wengine!
.
Na...
.
Siku zote watu Hununua vitu kutoka kwa Waauzaji ambao ni kama Marafiki zako (Washikaji), na hii ni Kutokana na Kitu kimoja…
.
Kinaitwa… “Friendship Factor”
.
Kwahiyo kabla ya kwenda mbali ANZA na…
.
Rafiki zako...
.
Majirani zako...
.
Ndugu zako...
.
Wana Kikundi wenzako...
.
Na…
.
Watu wako wote wa Karibu
.
Tumia mbinu ya…
.
“Geographical Strategy Selling”
.
I Hope Umejifunza Kitu!
.
Uwe na Siku Njema!
.
Gracias
.
Seif Mselem
 
Back
Top Bottom