Mbeya: Wafanyabiashara Watoa Ushuhuda kuwa Mwigulu Ndiye Rais Ajaye, Kiongozi Genius

Hao n waganga njaa ndio wenye akili butu wamsifie nchemba.60% ya wafanyabiashara iko dar mbna haendi kukutana nao au wewe mpiga debe wke ninu
 
Nilipo kuwa kijana mdogo niliamini kabisa hakuna mtu anayeweza kupigana na baba yangu akamshinda. Mtazamo wakati mwingine hupindishwa na maslahi flani.
 
BREAKING NEWZ,WAFANYABIASHARA MBEYA WAKILI HAWAJAWAHI KUTANA NA MTU GENIOUS KAMA MWIGULU NCHEMBA NCHI HII,WAKILI WALIKUWA HAWAJAWAHI NA UWEZO MKUBWA WA KIONGOZI KAMA MWIGULU KWENYE MAMBO YA KITAIFA.

61318_187171404826405_2017150508_n.jpg

Muda huu hapa Mbeya Mh:Naibu Waziri Mwigulu Nchemba anazungumza na Wafanyabaishara wa Mbeya Mjini,Kijana mmoja (Mbilinyi) akitoa Mchango wake kwa MhMwigulu Nchemba kuhusu Mashine za EFD'S Ameanza kwa kusema.
"Nakupongeza sana Mh.Naibu waziri kwa Kuteuliwa kushika Wizara ya Fedha,Lakini naomba niseme wazi HII LEO NAKILI MBELE YA WAFANYABIASHARA WENZANGU WATANZANIA,NIMEMSIKILIZA MWIGULU NCHEMBA KWA MAKINI SANA HAPA,HAKIKA NI KIJANA MWENYE AKILI KUBWA SANA NA UWEZO MKUBWA SANA WA KUCHAMBUA MAMBO KITAIFA"He si Geneous Man",NILIKUWA NAMWONA MWIGULU KIMTAZAMO MWINGINE KABISA,HII LEO NIMETAMBUA WEWE NI MTU TOFAUTI KABISA,NIMEMPIGIA MAGOTI MUNGU ANISAMEHE KWA MAWAZO YOTE MABAYA NILIYOKUWA NAWAZA JUU YAKO,BIBLIA INASEMA MWENYE HAKI NA APEWE,MWENYE KUSIFIWA NA ASIFIWE.MIWGULU KUANZIA LEO NIMEKUONA WW NDIYE MTETEZI PEKEE WA TAIFA HILI.

Mfanyabiashara Mwingine (Julius) amesema "Nimekuja hapa na Kilio kikubwa sana kuhusu malipo yangu ya Tenda zaidi ya milion 100 naidai serikali,LAKINI KWANAMNA WEWE KIJANA ULIVYOZUNGUMZA NA KUONESHA UZALENDO WAKO KWA WAFANYABIASHARA,NAKILI SIKU ZA MBELENI WEWE NI RAIS WETU AJAYE,HONGERA SANA KIKWETE KWA KUONA KIJANA KAMA WEWE".

NITAWALETEA AUDIO HAPA HAPA LIVE NIKITOA KWENYE VIDEO SHOOTING.
Chanzo:Mimi Mwenyewe nipo Mkutanoni Mtenda Hotel Hapa(Soweto)
Yaani kwa akili yako umejipinda kabisa ukaona uje na huu utumbo hapa JF si ndiyo? Haya tumekusikia lkn tulio wengi naamini itatuchukua muda kukuamini ww na washamba wenzako!!!!!!!!! Nalog off computer yangu naona ss inaniletea utumbo badala ya steki.
 
Ukishangaa ya Mussa utayaona ya firauni! Hivi uraisi ni kitu chepesi hivi hapa Tanzania?
 
Ama kweli ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni!Hivi uraisi umerahisishwa kwa kiwango hiki katika nji hii ya Tanzania?
 
aisee ....
Nimeamini kweli waliopo kwenye payroll ya Mwigulu Nchemba ni wengi. Mtamsifia sana, lakini hatimaye watu watakuja kujua Mwigulu ni galasa linalotumiwa kupitisha malengo mabaya ya CCM kwa watanzania
 
Huu ni mzaha hapa jukwaani. Yaani hii ni "breaking news" halafu ni "ushuhuda". Aidha kuna haja ya kuainisha neno "genius"; inaelekea maana yake halisi haieleweki kabisa kwa mleta mada. Ni vizuri ukitaka kumuinua mtu mbele ya watu wenye uelewa mkubwa kutumia uandishi makini uliotulia. Hapa umezidi kumuangusha mh. Nchemba whatever he is!
 
Ama kweli ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni!Hivi uraisi umerahisishwa kwa kiwango hiki katika nji hii ya Tanzania?

Umeona ee yaani tanzania uraisi ni shamba la bibi, kila mjukuu anahaki ya kuvuna jamaniiii!
 
BREAKING NEWZ,WAFANYABIASHARA MBEYA WAKILI HAWAJAWAHI KUTANA NA MTU GENIOUS KAMA MWIGULU NCHEMBA NCHI HII,WAKILI WALIKUWA HAWAJAWAHI NA UWEZO MKUBWA WA KIONGOZI KAMA MWIGULU KWENYE MAMBO YA KITAIFA.

61318_187171404826405_2017150508_n.jpg

Muda huu hapa Mbeya Mh:Naibu Waziri Mwigulu Nchemba anazungumza na Wafanyabaishara wa Mbeya Mjini,Kijana mmoja (Mbilinyi) akitoa Mchango wake kwa MhMwigulu Nchemba kuhusu Mashine za EFD'S Ameanza kwa kusema.
"Nakupongeza sana Mh.Naibu waziri kwa Kuteuliwa kushika Wizara ya Fedha,Lakini naomba niseme wazi HII LEO NAKILI MBELE YA WAFANYABIASHARA WENZANGU WATANZANIA,NIMEMSIKILIZA MWIGULU NCHEMBA KWA MAKINI SANA HAPA,HAKIKA NI KIJANA MWENYE AKILI KUBWA SANA NA UWEZO MKUBWA SANA WA KUCHAMBUA MAMBO KITAIFA"He si Geneous Man",NILIKUWA NAMWONA MWIGULU KIMTAZAMO MWINGINE KABISA,HII LEO NIMETAMBUA WEWE NI MTU TOFAUTI KABISA,NIMEMPIGIA MAGOTI MUNGU ANISAMEHE KWA MAWAZO YOTE MABAYA NILIYOKUWA NAWAZA JUU YAKO,BIBLIA INASEMA MWENYE HAKI NA APEWE,MWENYE KUSIFIWA NA ASIFIWE.MIWGULU KUANZIA LEO NIMEKUONA WW NDIYE MTETEZI PEKEE WA TAIFA HILI.

Mfanyabiashara Mwingine (Julius) amesema "Nimekuja hapa na Kilio kikubwa sana kuhusu malipo yangu ya Tenda zaidi ya milion 100 naidai serikali,LAKINI KWANAMNA WEWE KIJANA ULIVYOZUNGUMZA NA KUONESHA UZALENDO WAKO KWA WAFANYABIASHARA,NAKILI SIKU ZA MBELENI WEWE NI RAIS WETU AJAYE,HONGERA SANA KIKWETE KWA KUONA KIJANA KAMA WEWE".

NITAWALETEA AUDIO HAPA HAPA LIVE NIKITOA KWENYE VIDEO SHOOTING.
Chanzo:Mimi Mwenyewe nipo Mkutanoni Mtenda Hotel Hapa(Soweto)

mtafanya propaganda weeeee! Lakini chadema inawatafuna taratibu, kata na majimbo vinayoyoma polepole.
 
Back
Top Bottom