MBEYA: Rais Magufuli ahutubia wananchi Uwanja wa Ruanda Nzovwe. Agusia usajili wa laini na machinga

Mimi sio Maskini kama wewe mwenye Mentality za Ki Maskini kuona eti Zero Brain kufoji vyeti na kupata Madaraka eti ameukata
Nina Elimu ambayo katika ukoo wenu mzima hamna aliye na atakayeifikia, Nime invest pakubwa na ninalipa kodi zote bila ujanja ujanja
Nikwambie Tu kodi ninayolipa Serikalini inatosha kulisha ukoo wenu mzima Kwa Miezi sita bila kufanya kazi
subutuuuuu jichunge kijana elimu hiihii ndo unajiona umeula au sio

Usichukulie poa watu hata SKU moja kwanza kwa mentality yako ya kuchukia watu nshakuona we ni mlalahoi coz tajiri hata siku moja hawana huo ushamba na mpaka na andika hapa nauhakika we ni mlalahoi na unaangalia TV kwa Mzee wako na bandle LA chuo linakutia kiburi, in short hunalolote kabla hujaaibika kaa kimya
 
subutuuuuu jichunge kijana elimu hiihii ndo unajiona umeula au sio

Usichukulie poa watu hata SKU moja kwanza kwa mentality yako ya kuchukia watu nshakuona we ni mlalahoi coz tajiri hata siku moja hawana huo ushamba na mpaka na andika hapa nauhakika we ni mlalahoi na unaangalia TV kwa Mzee wako na bandle LA chuo linakutia kiburi, in short hunalolote kabla hujaaibika kaa kimya
You described yourself
Hahaha
 
1082503


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kazi kubwa inayofanya.

Hayo ameyasema kwenye mkutano wa hadhara mkoani Mbeya kwenye viwanja vya Ruanda Nzove wakati akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya kuzindua jengo la NHIF Tower Mbeya ambalo litatumika kwa ajili ya kuhudumia wanachama pamoja na kitega uchumi.

“Leo nimepata heshima ya kufungua jengo zuri sana la NHIF na nimpongeze sana Mwenyekiti wa Bodi Mama Makinda ambaye aliona umuhimu wa kujenga jengo hili huku ambalo ni zuri sana hakika alitambua umuhimu wa Mbeya na kilichonifurahisha zaidi ni kusikia jengo lina wapangaji zaidi ya asilimia 91,” alisema Mhe. Rais.

Kutoka na hayo, Mheshimiwa Rais alitoa pongezi kwa Watendaji wa Mfuko kwa kazi kubwa wanayofanya lakini pia akautaka uongozi kujielekeza katika uwekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba ili kuboresha zaidi huduma za matibabu.

“Majengo ni mazuri lakini tusiendeleze sana kujenga jielekezeni kujenga viwanda vya madawa na vifaa hospitalini lakini kwa hili nakupongeza sana na sijilaumu kukuteua naomba unipelekee pongezi hizi kwa watendaji wa NHIF,” alisema Rais.

Alitumia pia fursa hiyo kuwaomba watanzania kujielekeza katika kujiunga na Nhif ili waweza kupata huduma kupitia mfumo wa Bima ya Afya.
 
Anko mrejesho anatakiwa aupate kwa wanachama wa NHIF yaani beneficiries,
Je hali ya huduma ikoje?
Kisha ndo apime kuona kama inaridhisha au la?!
Na siyo kumsikiliza bimkubwa tu!
 
Hivi unaweza kuwa member wa Bima ya Afya bila kuwa mtumishi!? Mimi sio mtumishi lakini nahitaji kuwa na bima ya afya yoyote
 
Unasifia utamu wa samaki huku analiwa akaisha, huo unaitwa weledi.

Serikali inanufaika sana na pesa za NHIF kuliko wanachama wenyewe.
 
Back
Top Bottom