Mbeya Mpo wapi?

Nyanda za juu kusini.

Tanzania-map.JPG
 
company company ya wale ndugu zetu ipo wapi....mbona mbeya hamjui kuwakarimu wageni????? Mr Able...hebu mwambie atugonile aje kunipokea...
 
Wewe ni lazima ni mtu unaeshabikia kuwa ziwa Nyasa ni la Malawi, kwani utakuwa na ujasiri gani kutubandikia ramani isiyoonesha mpaka sahihi wa nchi yetu?
 
Wewe ni lazima ni mtu unaeshabikia kuwa ziwa Nyasa ni la Malawi, kwani utakuwa na ujasiri gani kutubandikia ramani isiyoonesha mpaka sahihi wa nchi yetu?

Atakuwa mdogo wake Joy huyu, ngoja nikae sawa ninyooke nae
 
Wewe ni lazima ni mtu unaeshabikia kuwa ziwa Nyasa ni la Malawi, kwani utakuwa na ujasiri gani kutubandikia ramani isiyoonesha mpaka sahihi wa nchi yetu?

Mpaka wa Tanzania katika ramani yako sio sahihi!!

Atakuwa mdogo wake Joy huyu, ngoja nikae sawa ninyooke nae

Huu ni uzembe wa hali ya juu na udhaifu na upuuzi wa serikali ya chama cha mapinduzi kuruhusu hali hii iote mizizi.

Sasa hakuna ramani yoyote mtandaoni ionyeshayo Ziwa Nyasa lipo Tanzania.

tanzania_pol_2003.jpg tanzania.gif
 
kweli!
Lakini home kuna ramani ya TANZANIA ya mwaka 1987, iliyofadhiliwa na SIDA, shirika la kutoa misaada la SWEDEN, mpaka unapita katikati ya ziwa..
 
company company ya wale ndugu zetu ipo wapi....mbona mbeya hamjui kuwakarimu wageni????? Mr Able...hebu mwambie atugonile aje kunipokea...
Kaka taratibu usije ukaukana uraia wa Kenya kwa kunogewa na dada zetu wa Mbeya, akina mzee Kalembo, wa Kalembo bar ,wale wenye Nakuru Guest House na wengineo wengi walisema wamekuja mara moja na watarudi Kenya mara moja,mara ikawa wiki,miezi miaka,na sasa tunawazika hapa hapa Mbeya,chezea ugonile wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom