Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

Mwambie jiwe kama ana ubavu aweke bunduki chini apambane kwa hoja au kama ana nguvu basi awape anaopambana nao bunduki ili tuone nani zaidi. Lina hasara tumbo lililokuzaa wewe!
Hiyo michezo yenu ya ki-Redbrigade ina mwisho.ha ha ha ha
 
Mwanakijiji mmoja ni tiss, yupo hapo kuhakikisha taarifa imefika kwa wakubwa zake kuwa ameufikisha mzigo salama kama mlivyomtuma, acheni kuendelea kutumia mbinu za kizamani.
Diwani kapigiwa simu na nani?hivi majeruhi akipatikana kijijini atasubiri gari au atabebwa na pikipiki au hata baskeli!!au wanakijiji watapiga simu polisi???
Hao wanakijiji walimtambuaje kuwa ni mdude?
 
True ! kupatikana kwa mdude ni nguvu ya umma , pamoja na Msiba mzito wa Mzee Mengi lakini taarifa za Mdude hazikuzimika

Hakika nyota ya kijana huyu inang'ara vibaya mno !
bila ubishi..
naamini watu walihisi msiba pamoja & ishu ya Gwaji ingeizima hii ishu..
 
Police wamkamate sasa wamfanyie upelelezi na wamfungulie mashtaka ya kujiteka kabla hajaanza kumtukana tena raisi wetu
Kama walivyowafungulia mashtaka akina MO na Roma, nadhani itasaidia kuwasafisha akina Bash boy na wasiojulikana wenzake.
 
Na video clips za ubakaji ndizo zinatumika kuwa'blackmail wasiongee kitu baada ya kuachiwa.
Tatizo wanarudi wakiwa hai ila wamebwakwa? Hii ki jentromen inakurudisha mtaani ukiwa bubu.
 
Welcome back bro Mdude ila yule aliyesema kapelekwa kambi ya jeshi Dar sijui naye nani... kumbe kapatikana Mbeya hukohuko... kweli mbongo mpe picha tu mengine yote anamaliza mwenyewe...bila kelele za umma asingepatikana huyu chalii
 
Ila mi wakija kwangu kunichukua wakiwa wanne, wawili nitawagalagaza ili watafute njia nyine za kuongoza hizo zitaachwa haraka sana. Kadri taaria za kuteka wakosoaji wa jiwe zikizidi nami ndo naongeza kasi ya kujifua, labda waishie hapo, hapa ni kisiki cha mpingo tu
Heshima kwenu wakuu,

Taarifa za awali zinathibitisha kuwa Mdude Nyagali amepatikana akiwa hai, sema kapigwa sana. Hawezi kutembea wala kujipandisha kwenye bajaji. Utaratibu wa kupelekwa Hospitali apewe huduma ya kwanza unafanyika.

Mdude amepatikana katika Jimbo la Mbeya Vijijini kata ya Inyara Kijiji cha Makwenje kitongoji cha Mwasho.

Taarifa hizi za awali zimethibitishwa na Diwani wa CHADEMA mkoani humo, Kissman Mwangomale.

Siku ya Jumamosi Tarehe 4 Mei 2019, Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA, Mpaluka Said Nyagali (Mdude Chadema) alivamiwa kisha kuchukuliwa na watu ambao hawakutambulika wenye Silaha za moto, akiwa ofisini kwake, eneo la Vwawa, Mbozi, mkoani Songwe, katika tukio lenye dalili za utekaji.

Zaidi, soma;



Stay tuned
 
Kama kawaida yao Namsubilia familia zao zitakapo Anza Kutekwa
Kwa Sababu Ni lazima ikianza mbili ifuatie na Tatu
Anaye bisha Anyooshe mkono juuu
 
Katika biblia kulikuwa na mfalme Daudi ambaye mwanaye Absalomu alipanga njama ya kumpindua Daudi ili Sulemsin akose ufalme lakini Daudi alikwambia Yoabu kuwa Absalomu asiuawe baada ya kukamatwa, yote hii inatufundisha kuchualiana na kusameheana
 
Diwani kapigiwa simu na nani?hivi majeruhi akipatikana kijijini atasubiri gari au atabebwa na pikipiki au hata baskeli!!au wanakijiji watapiga simu polisi???
Hao wanakijiji walimtambuaje kuwa ni mdude?
Kweli wewe ni jingalao, kwani Mdude anaishi mbinguni wanakijiji wasimtambue, halafu kumbumbuka huyo ni kiongozi wa Kanda alikuwa akifanya mikutano vijijini.
 
Mungu atafunua tu.

Jumuiya za kimataifa zipo wapi katika haya?


UN SECURITY COUNCIL MAY HAVE DUTIES TO ALL OF THESE.
 
Back
Top Bottom