Mbele ya Mwenezi Makonda, Mama adai kuvunjwa mguu na kuporwa Milioni 19 na Polisi. Viongozi wa Serikali wanampiga danadana

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,811
Kama haya mambo yanafanywa na watu wa Serikali kunyanyasa wengine basi Kuna haja ya Tume ya Kimahakama.

Kwa nini Baadhi ya Watumishi wa Umma na hasa Polisi Wanadhukumu Haki lakini hatua hazichukuliwi?

Inasikitisha sana na kuudhi,mnaojiita Wanyonge msipoungana kuwanyoosha hao watu mtakwisha.

View: https://youtu.be/Y0cWAc557bI?si=V4-o2nT9KTAtBIDS

My Take
Natumai Rais Samia anafuatilia kinachojiri huko kwenye ziara za Makonda,anajua Sasa watu wake walivyo.

Nashauri Serikali itoe amri ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenda kufuatilia kero za Watu na walete mrejesho wa utaguzi.Kidogo Huwa anajaribh kufanya Makala, Homera na RC wa Dar wengine hakuna wanachofanya.
 
Sina im

Sina Imani na huyo rpc! Yawezekana anaujua mchezo ulivyofanyika! Kusema ushahidi ulikosekana wkt tayari alishamfukuza kazi askari aliyehusika Kuna walakini na inawezekana ushahidi ulipotezwa.
 
Write your reply...HAKUNA KM MAKONDA.Nilikuwa namchukia sana ila anafaa kutetea haki za wanyonge
Kwa watu wa chini Yuko vizuri aisee maana bila hivyo watu watazulumiwa Haki sana Kwa sababu kuanzia mahakamani Hadi Polisi kukosa corrupt so the only way ni kupata Kiongozi wa siasa mwenye huruma
 
Huyo kamanda kibaka aliekwapua kwa huyo Mama ndio analichafua Jeshi wauze hata nyumba yake kwa mnada alipe Pesa ya huyo Mama, yaan kuiba kaiba na bado anapeta na alitishia mpaka kuua alafu anachekewa kwanza hakutakiwa kua mtaani
 
Sasa ni mpaka kuwe na Kiongozi wa Kisiasa wa kutia hiyo amri Kwa sababu ukienda mahakamani Kiko corrupt hakuna wa kumsaidia mdai Haki.
 
Hakimu anaesimamia kesi atoe Amri Mali za huyo Askari kibaka zipigwe mnada alipe Deni hilo la huyo Mama, asilete janja janja anaiba red handed alafu anaachwa mtaani yeye nani Mafia?
 
Atoe amri wakati ameshikishwa noti? Kwani hadi kesi inakuja public si manake huko imeshindikana Kwa sababu mfumo ni corrupt?
 
Kama haya mambo yanafanywa na watu wa Serikali kunyanyasa wengine basi Kuna haja ya Tume ya Kimahakama.

Kwa nini Baadhi ya Watumishi wa Umma na hasa Polisi Wanadhukumu Haki lakini hatua hazichukuliwi?

Inasikitisha sana na kuudhi,mnaojiita Wanyonge msipoungana kuwanyoosha hao watu mtakwisha.

View: https://youtu.be/Y0cWAc557bI?si=V4-o2nT9KTAtBIDS

My Take
Natumai Rais Samia anafuatilia kinachojiri huko kwenye ziara za Makonda,anajua Sasa watu wake walivyo.

Nashauri Serikali itoe amri ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenda kufuatilia kero za Watu na walete mrejesho wa utaguzi.Kidogo Huwa anajaribh kufanya Makala, Homera na RC wa Dar wengine hakuna wanachofanya.

Ccm ndio chanzo Cha uhalifu wa vyombo vya Dola na taasisi nyingine za kimamlaka. Wao huwa wanaingia madarakani kwa njia za kihalifu, na huwatumia hao hao askari kuteka, kujeruhi na kubambikia kesi ili wakae madarakani kwa shuruti. Matokeo yake vyombo vya Dola hujikuta juu ya Sheria maana walioko madarakani wako kwa support Yao.
 
Atoe amri wakati ameshikishwa noti? Kwani hadi kesi inakuja public si manake huko imeshindikana Kwa sababu mfumo ni corrupt?

Hilo la kuwa mfumo ni corrupt huo ni wimbo wetu wa Kila siku, lakini huwa mnaongea kwa kubeza kuwa nendeni mahakamani, au katoeni taarifa kwenye vyombo vya Dola. Na kwa taarifa yako, siku hao vyombo vya Dola wakiamua kufanya kazi Yao ipaswavyo, huyo Makonda naye ataishia jela. Inshort hao wananchi wanaripoti kwa muhalifu ambaye ni sehemu ya tatizo linalowaliza, hapo wanapoteza muda tu.
 
Hata kuwe na sheria nzuri na Katiba Bora kiasi gani Ukiwa na jamii kama ya Tzn ya watu wasio na Maadili ni kazi Bure.

Ndio hapo Sasa viongozi wa siasa huingia na kusema Mahakama isiingiliwe haiwezekani Kwa sababu hiyo ndio chanzo Cha mvutano wa Ruto na mhimili wa Mahakama Hadi walipohongana ndio mambo imetulia.

Ogopa sana rupia.
 
Kama haya mambo yanafanywa na watu wa Serikali kunyanyasa wengine basi Kuna haja ya Tume ya Kimahakama.

Kwa nini Baadhi ya Watumishi wa Umma na hasa Polisi Wanadhukumu Haki lakini hatua hazichukuliwi?

Inasikitisha sana na kuudhi,mnaojiita Wanyonge msipoungana kuwanyoosha hao watu mtakwisha.

View: https://youtu.be/Y0cWAc557bI?si=V4-o2nT9KTAtBIDS

My Take
Natumai Rais Samia anafuatilia kinachojiri huko kwenye ziara za Makonda,anajua Sasa watu wake walivyo.

Nashauri Serikali itoe amri ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenda kufuatilia kero za Watu na walete mrejesho wa utaguzi.Kidogo Huwa anajaribh kufanya Makala, Homera na RC wa Dar wengine hakuna wanachofanya.

Kwa sababu polisi ni washirika wa CCM kwenye wizi wa kura
 
Huyo kamanda kibaka aliekwapua kwa huyo Mama ndio analichafua Jeshi wauze hata nyumba yake kwa mnada alipe Pesa ya huyo Mama, yaan kuiba kaiba na bado anapeta na alitishia mpaka kuua alafu anachekewa kwanza hakutakiwa kua mtaani
Na akavunja mtu mguu
 
The truth ni kweli watu wamechukua hiyo hela lakini huyu mama hana any shred of evidence to prove her case. Lazima tuseme ukweli.
 
Hilo la kuwa mfumo ni corrupt huo ni wimbo wetu wa Kila siku, lakini huwa mnaongea kwa kubeza kuwa nendeni mahakamani, au katoeni taarifa kwenye vyombo vya Dola. Na kwa taarifa yako, siku hao vyombo vya Dola wakiamua kufanya kazi Yao ipaswavyo, huyo Makonda naye ataishia jela. Inshort hao wananchi wanaripoti kwa muhalifu ambaye ni sehemu ya tatizo linalowaliza, hapo wanapoteza muda tu.
Jínga ww
 
Back
Top Bottom