MBARALI: Rais Samia aifutilia mbali Government Notice Na. 28 ya mwaka 2022 iliyowafukuza Wananchi wasilime Wala kufuga katika bonde la Usangu

View attachment 2754590

Hii ni Habari Njema sana,

MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Upande wa Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekubali ombi lao la kuendelea na shughuli za kilimo na ufugaji katika eneo lililozuiwa kupitia tangazo la Serikali la GN 28, kama ilivyokubaliwa mwaka jana.

Tangu kutolewa kwa katazo hilo, wananchi wamekuwa wakilalamika kuwa mchakato wa kufikia maamuzi hayo haukuwa shirikishi na kuiomba serikali kuliondoa katazo hilo ambalo linaathiri ustawi wa maisha yao na kipato chao kama mtu mmoja mmoja.

Akizungumza wakati akihitimisha kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya, zilizofanyika katika Kijiji cha Chimala hapo jana Makamu Mwenyekiti Kinana alisema mgombea Ubunge wa CCM Bahati Ndingo, Madiwani wa CCM, Viongozi wa CCM na wananchi walimueleza amuombe Rais Samia waendelee kulima wakati suala hilo linazungumzwa.

“Nimemueleza Rais jana kuwa wananchi wa Mbarali wanaomba waendelee kulima kwa sababu msimu unaanza mwezi ujao (Oktoba) na Rais akasema sawa waendelee, kwa yale maeneo yote yaliyoruhusiwa mwaka jana Rais amekubali mwendelee kulima,” alisema.

Akizungumzia ombi la mgombea ubunge kuhusu ujenzi wa barabara iliyokaa muda mrefu kutoka Lujewa, Madibila hadi Mafinga, Kinana alisema atawasiliana na wahusika (Waziri wa Ujenzi) ili ujenzi wa barabara hiyo uanze kama ilivyoahidiwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Awali wakati akiomba kura Bahati Ndingo Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Mbarali, alitumia nafasi hiyo kuelezea masuala mbalimbali yanayoendelea katika wilaya hiyo yakiwemo maendeleo makubwa ambayo yamefanywa na serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia.

Bahati alikiiomba Chama na serikali kuangalia upya changamoto ya migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya wilaya hiyo. Alisema asilimia zaidi ya 90 ya wananchi wa Wilaya ya Mbarali ni wakulima, hivyo ardhi ndio maisha yao na ndio uchumi wao.

Bahati alieleza kuwa tangazo la GN 28 linaathiri maisha ya wananchi wa wilaya hiyo na kuomba lipitiwe upya.

“Migogoro ya ardhi ndio inafanya wilaya hii iwe nyuma. Unapotuona hapa zaidi ya asilimia 90 ni wakulima, linapokuja suala la ardhi sisi hatuitafuti kwa kujengea maghorofa, hatutafuti ardhi kujenga nyumba tunatafuta kwaajili ya shughuli za kilimo” alisema.

Uchaguzi huo unafanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Francis Mtega kufariki dunia Julai Mosi mwaka huu.

"Leo kura zote kwa CCM sikivu"

== ==

Cc: Balile
Cc: Mwakibinga
Kwa hivyo Kinana ndio aliyetoa tangazo?. Kweli mnawaona Nyani watu wa mbarali. Tangazo la serikali linatolewa na makamu mwenyekiti wa CCM.
 
Kuna watu wana akili ndogo sana. Yaani serikali ya CCM imetoa notice, halafu serikali ya CCM imefuta notice. Halafu tuwasifie kwa kufuta notice ambayo nyie wenyewe ndiye mmetoa hiyo notice. Yaani ni nchi ya ajabu tu ambayo wanatatua matatizo ambayo wenyewe ndiyo wametengeneza! CCM OYEE
CCM watu wa Mbarali tunamshukuru Rais
 
Kuna watu wana akili ndogo sana. Yaani serikali ya CCM imetoa notice, halafu serikali ya CCM imefuta notice. Halafu tuwasifie kwa kufuta notice ambayo nyie wenyewe ndiye mmetoa hiyo notice. Yaani ni nchi ya ajabu tu ambayo wanatatua matatizo ambayo wenyewe ndiyo wametengeneza! CCM OYEE
Rudia kusoma ulichoandika
 
Tukiweka siasa kando

Hayo maeneo ilitakiwa yatwaliwe na serikali, yapimwe viwanja kisha wapewe waliokuwa wakiishi maeneo hayo pamoja na hati, sehemu zingine ziachwe bila kuguswa
Mwinyi ndie aliwapa hao waarabu hayo mashamba kwa kuwanyima maelfu ya wananchi kuzunguka vijiji na vijiji akampa mwarabu mmoja na ukoo wake.
Yalianzishwa na wachina mashamba hayo.
Pana watz wakiona tu rangi wameuona mtume.
 
View attachment 2754590

Hii ni Habari Njema sana,

MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Upande wa Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekubali ombi lao la kuendelea na shughuli za kilimo na ufugaji katika eneo lililozuiwa kupitia tangazo la Serikali la GN 28, kama ilivyokubaliwa mwaka jana.

Tangu kutolewa kwa katazo hilo, wananchi wamekuwa wakilalamika kuwa mchakato wa kufikia maamuzi hayo haukuwa shirikishi na kuiomba serikali kuliondoa katazo hilo ambalo linaathiri ustawi wa maisha yao na kipato chao kama mtu mmoja mmoja.

Akizungumza wakati akihitimisha kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya, zilizofanyika katika Kijiji cha Chimala hapo jana Makamu Mwenyekiti Kinana alisema mgombea Ubunge wa CCM Bahati Ndingo, Madiwani wa CCM, Viongozi wa CCM na wananchi walimueleza amuombe Rais Samia waendelee kulima wakati suala hilo linazungumzwa.

“Nimemueleza Rais jana kuwa wananchi wa Mbarali wanaomba waendelee kulima kwa sababu msimu unaanza mwezi ujao (Oktoba) na Rais akasema sawa waendelee, kwa yale maeneo yote yaliyoruhusiwa mwaka jana Rais amekubali mwendelee kulima,” alisema.

Akizungumzia ombi la mgombea ubunge kuhusu ujenzi wa barabara iliyokaa muda mrefu kutoka Lujewa, Madibila hadi Mafinga, Kinana alisema atawasiliana na wahusika (Waziri wa Ujenzi) ili ujenzi wa barabara hiyo uanze kama ilivyoahidiwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Awali wakati akiomba kura Bahati Ndingo Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Mbarali, alitumia nafasi hiyo kuelezea masuala mbalimbali yanayoendelea katika wilaya hiyo yakiwemo maendeleo makubwa ambayo yamefanywa na serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia.

Bahati alikiiomba Chama na serikali kuangalia upya changamoto ya migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya wilaya hiyo. Alisema asilimia zaidi ya 90 ya wananchi wa Wilaya ya Mbarali ni wakulima, hivyo ardhi ndio maisha yao na ndio uchumi wao.

Bahati alieleza kuwa tangazo la GN 28 linaathiri maisha ya wananchi wa wilaya hiyo na kuomba lipitiwe upya.

“Migogoro ya ardhi ndio inafanya wilaya hii iwe nyuma. Unapotuona hapa zaidi ya asilimia 90 ni wakulima, linapokuja suala la ardhi sisi hatuitafuti kwa kujengea maghorofa, hatutafuti ardhi kujenga nyumba tunatafuta kwaajili ya shughuli za kilimo” alisema.

Uchaguzi huo unafanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Francis Mtega kufariki dunia Julai Mosi mwaka huu.

"Leo kura zote kwa CCM sikivu"

== ==

Cc: Balile
Cc: Mwakibinga
GN 28 ya 2022 kuhusu mashamba Mbarali ilikuwa kwa lengo gani ? Kama lengo ni kulinda mazingira hasa vyanzo vya maji muhimu kwa uzalishaji umeme, kufuta GN kwa sababu za kisiasa ni JANGA tena JANGA KUBWA Tz.
 
View attachment 2754590

Habari Njema sana,

MAKAMU Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Upande wa Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekubali ombi lao la kuendelea na shughuli za kilimo na ufugaji katika eneo lililozuiwa kupitia tangazo la Serikali la GN 28, kama ilivyokubaliwa mwaka jana.

Tangu kutolewa kwa katazo hilo, wananchi wamekuwa wakilalamika kuwa mchakato wa kufikia maamuzi hayo haukuwa shirikishi na kuiomba serikali kuliondoa katazo hilo ambalo linaathiri ustawi wa maisha yao na kipato chao kama mtu mmoja mmoja.

Akizungumza wakati akihitimisha kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya, zilizofanyika katika Kijiji cha Chimala hapo jana Makamu Mwenyekiti Kinana alisema mgombea Ubunge wa CCM Bahati Ndingo, Madiwani wa CCM, Viongozi wa CCM na wananchi walimueleza amuombe Rais Samia waendelee kulima wakati suala hilo linazungumzwa.

“Nimemueleza Rais jana kuwa wananchi wa Mbarali wanaomba waendelee kulima kwa sababu msimu unaanza mwezi ujao (Oktoba) na Rais akasema sawa waendelee, kwa yale maeneo yote yaliyoruhusiwa mwaka jana Rais amekubali mwendelee kulima,” alisema.

Akizungumzia ombi la mgombea ubunge kuhusu ujenzi wa barabara iliyokaa muda mrefu kutoka Lujewa, Madibila hadi Mafinga, Kinana alisema atawasiliana na wahusika (Waziri wa Ujenzi) ili ujenzi wa barabara hiyo uanze kama ilivyoahidiwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Awali wakati akiomba kura Bahati Ndingo Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Mbarali, alitumia nafasi hiyo kuelezea masuala mbalimbali yanayoendelea katika wilaya hiyo yakiwemo maendeleo makubwa ambayo yamefanywa na serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia.

Bahati alikiiomba Chama na serikali kuangalia upya changamoto ya migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya wilaya hiyo. Alisema asilimia zaidi ya 90 ya wananchi wa Wilaya ya Mbarali ni wakulima, hivyo ardhi ndio maisha yao na ndio uchumi wao.

Bahati alieleza kuwa tangazo la GN 28 linaathiri maisha ya wananchi wa wilaya hiyo na kuomba lipitiwe upya.

“Migogoro ya ardhi ndio inafanya wilaya hii iwe nyuma. Unapotuona hapa zaidi ya asilimia 90 ni wakulima, linapokuja suala la ardhi sisi hatuitafuti kwa kujengea maghorofa, hatutafuti ardhi kujenga nyumba tunatafuta kwaajili ya shughuli za kilimo” alisema.

Uchaguzi huo unafanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Francis Mtega kufariki dunia Julai Mosi mwaka huu.

== ==

Cc: Balile
Cc: Mwakibinga
What a confusion
35cbfac66d2d07407d053e4dd4a60798.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uchaguzi ukiisha notes inarudi palepale ccm ni ileile
 
Cc: Balilewa famimilia
Cc: Mwakibinga
Uamuzi wa busara. Wananchi walipoteza mifugo mingi baada ya kuhamina maeneo ya uwanda wa juu - magonjwa. Hatuwezi kupenda wanyama pori kuliko watu, uzalishaji wa chakula na uchumi wa familia .
 
Nani kama mama?
 
Tukiweka siasa kando

Hayo maeneo ilitakiwa yatwaliwe na serikali, yapimwe viwanja kisha wapewe waliokuwa wakiishi maeneo hayo pamoja na hati, sehemu zingine ziachwe bila kuguswa
Hapo naiona BBT, wanaoweza kulima walime kweli kweli, siyo kwa kukisia.

Tunataka kulisha Afrika.
 
R nne za Mama Samia zinawaumiza roho wajivuni wachache.

Hapo zinafanya kazi R 4 za mama Samia, hapo zimetumika:

R 1) Reconcialiation: serikali imekaa ikasikilizana na raia wake kwa uwazi kabisa. Ikafatia:
R 2) Resilience: uwezo wa kutengeneza fursa kwenye matatizo, ikaja:
R 3) Reforms: Mabadiliko ya haraka sana, ameweza kubadili matumizi ya hilo eneo lote, kabadili bila usita kwa manufaa ya raia. Sasa inafatia:
R 4) Rebuilding: BBT lazima ipitie hapo kuwajengea raia utajiri kwa makusudi kabisa.
 
Back
Top Bottom