Mbagala: Ajali mbaya yatokea ikihusisha lori na costa, watu kadhaa wapoteza maisha

Ajali mbaya Mbagala, iliyohusisha gari kubwa aina ya Scania na gari la abiria, Costa lilohusisha takriban maisha ya watanzania wengi kupoteza maisha yao mchana huu kwenye daraja la kongowe mbagala.

Polen sana waliofikwa na msiba mzito.
 
nataka kuona viongozi wa traffic wakisimamishwa kazi hapa.. kama kule tabora baada ya ile ajali ya tinde..

MKUU MAGU UKIENDELEA KUWASHUSHA VYEO NA KUFUKUZA KAZI BAADHI YA TRAFIKI NA POLISI WAZEMBE UKWELI NI KWAMBA WATAACHA KUKUSANYA KODI KAMA WALIVYOZOEA NA WATAANZA SASA KUFANYA KAZI...
 
tatzo ni daraja,barabara nyembamba na mlima kuwa mkali kuna haja ya kufanyiwa marekebisho kwan hatA kipndi cha mvua hlo daraja linafunikwA nA majI
 
tatzo ni daraja,barabara nyembamba na mlima kuwa mkali kuna haja ya kufanyiwa marekebisho kwan hatA kipndi cha mvua hlo daraja linafunikwA nA majI
 
Hilo eneo la Kongowe linaonekana sio salama sana kwa waendesha vyombo vya usafiri maana taarifa za ajali nyingi ni za hilo eneo la Kongowe.

Kuna down moja pale hasa ukiwa unatokea Mbagala kwenda Kongowe,ni mwiba kwa malori,niliwah kushuhudia lori la nyuka yetu limefeli breki wakat linashuka from Mbagala to Kongowe,halaf kulikuwa na Jam,Ni kwamba dereva wa Lori aliamua kulipelekea off road likapinduka
 
Basi hizi za Leo zilikuwa zinatoka uelekeo mmoja. Lori limeigonga coaster kwa nyuma.
 
Hiyo Tank ilikuwa na mafuta nn!! poleni sana huyo dereva Hiyo kona kakunja usukani hadi aibu
 
Mungu wetu tusaidie na vyombo hivi vya moto pepo wa ajali aangamie kuzimu. RIP marehemu, moyo we ujasiri peweni wafiwa wote.
 
Back
Top Bottom