Mbadala wa "Viagra" ni juisi ya kokomanga

safi mdau kwa kutuletea kitu natural viagra si mali kitu.

Mnama anza leo kutafuna hivi vitu ufaidi matunda ya ujana.....................[MENTION]@Mnama[/MENTION]
 
Mkuu umenicheleweshea ushauri, ni jana tu nimeukata mkomamanga uliokuwa nyumbani kwangu kwa ajili ya kuwa na sisimizi wengi.
panda

mingine tena mingi..........................mie kwangu itabidi niende sokoni kwa sababu tumbili wakowengi wasije kuhamia hapa.......[MENTION]@Jsaudi[/MENTION]
 
We mwali, unaitakia nini ati!

Mtoboasiri hujui hili swala inabidi muwe katika nguvu sawa ukimwelemea malalamiko yatakukabili kuwa sasa ni mnyanyaso...........[MENTION]@mtoboasiri[/MENTION]
 
Dar hizo juice zinapatikana wapi nimplekee mpwa wangu?

Cheki kwenye supermarket yoyote ile lakini kama unaweza kuyapata matunda fresh na kujitengenezea juisi wewe mwenyewe itanoga zaidi... Fidel80
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ruta,

Habari njema nina miti miwili nyumbani kama si hili bandiko nilikuwa na mpango wa kukata imejaza misisimizi kibao ngoja nitapita TFA kununua dawa ya kuangamizi sisimizi kuanzia leo nitaiudumia kuliko miembe,mipera,mitopetope,chenza na milimao ha ha ha JF kweli kiboko.
 
Limejaa tele kwenye bustani binafsi katika maeneo ya mkoa wa pwani na Dar-es-Salaam yake

Linaitwa komamanga

Thanks gaijin kwa masahihisho....nimerekebisha title too..[MENTION]@Gaijin[/MENTION]
 
na kuufaidi ujana kikamilifu.........maana una mwisho...........

Aaaaah! Sasa wewe Rutashubanyuma una maana sisi wazee wa muji hatutakiwi kutumia hii kitu? Au hata tukitumia hatutafaidi kama wafaidivyo vijana? Hebu weka records straight kabla sija break news kwa mtani wa jadi kuhusu manufaa ya hii kitu.
 
Ruta maandalizi ya juice tafadhali.

Ngongo kama una mashine ya kukamulia juisi ni rahisi sana.....................ondoa kidogo maganda ya juu usiyamalize yote na likamue na mbegu zake hivyo hivoy usiongeze sukari kunywa hivyo hivyo ukiizoea hiyo ladha hutataka kusikia ladha nyingine ila khala khala usinywe pekee yako mshirikishe na mwandani wako.........................inasaidia kama kinga ya magonjwa mengi yakiwemo ya ubongo kama kusahausahau.................na kinga ya kansa za aina nyingi tu kwa sababu inachofanya ni kupunguza sumu mwilini......sumu za vyakula na vinywaji haswa..............best of wishes too [MENTION]Ngongo[/MENTION]
 
Vipi Preta,
Nasikitika sijakutana na hili tunda!
Waweza nipeleka soko kuu pale, ntalipata?

Pakajimmy.mtembelee tu bustani yake yote kajaza hii mivituzi.................[MENTION]@pakajimmy[/MENTION]
 
Na hivi nina miti minne namuonea huruma shemeji yenu
Mwanzo niliacha watoto wawe wanakuja kuchuma
Kuanzia leo full stoooop
OTIS
 
Sijawahi kabisa kuliona hili tunda tanzania. Hivi linapatikana wapi?

Lukolo unaonaje ukiweka quote yenye maudhui ya kimapenzi/mahusiano hapo chini kwenye maandishi ya red. Hii uliyoweka inatuongezea stress wengine tuliokimbia lile jukwaa lenye watu wanaotoleana mimacho kwa masuala ya kisiasa.
 
Vipi Preta,
Nasikitika sijakutana na hili tunda!
Waweza nipeleka soko kuu pale, ntalipata?

aaggghh....hii sasa hii....PJ....hujala kukumanga......?
uko wapi nikuletee.....tena zimezaa kweli mwaka huu.....
zaidi ya viagra....ni lizuri kweli kwa tumbo......

 
Back
Top Bottom