Hekima Ufunuo
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 220
- 11
JamiiForums inashuka status sasa! I am kind of worried! Nadhani hii hoja ni substandard hapa! Inajulikana sana kwamba zawadi anazotoa Obama kwa viongozi ni za aina gani. Kumbukeni kwamba alimzawadia Malkia I-pod. Kwa hiyo kumzawadia Kiwete basketball na Jersey na kuzungumza with a light touch kuhusu hiyo zawadi is very minor issue here! JF turudini tulikotoka jamani!
Inabidi tuwe na ewura au sumatra au Capital market authority ( i mean regulater). Hoja zinaelea sana. Ushauri wa bure, kama hoja ni gharama za safari na matokeo yake ingekuwa sawa lakini hoja imeletwa kama hakuna walichoongea cha maana. If we undermine our president to that much, we undermine or self also, Naunga mkono hoja ya hapo juu.