Mazishi ya Rais Bingu wa Mutharika!...Mkuu wa Kaya ndani ya nyumba!!!

Huyu mama rais mpya wa malawi, pamoja na bifu lake na mtharika, lakini kamfanyia fair sana kwenye mazishi. Hilo Kaburi ni hali ya juu sana. Laiti waliokufa wangekuwa huwa wanaweza kugeuka nyuma waone waliyofanyiwa, bila shaka wangetoa shukurani za dhati.

kweli kabisa aisee
 
Back
Top Bottom