Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Poleni sana wanafamilia wa wapiganaji walotutangulia. Mambo yanaendelea kuchacha na chama na serikali ya analog inatumia misuli kupambana na digital world! wapi na wapi! Hata akili ya kawaida haitumiki na hawa 'wakubwa'.
 
Ndiyyo hivyo ilikuwa leo Arusha katika mazishi ya Judith William Moshi mwenyekiti wa Bawacha kata ya Sokon 1. Maelfu na maelfu wamefanya mkusanyiko na maandamano makubwa bila hata ya mende kujeruhiwa!

Hii ni thibitisho jingine kwamba policcm hao wasipoingilia na kuanza kupiga watu na kurusha mabomu, Watz huwa ni watu watulivu kwelikweli.

Kina Pinda, Nchemba, Nape et al mpo? Hamuoni nanyi mmeaibika? Kama hamjasikia kuabika ninyi ni watu wa ajabu kweli kweli.
 
Nakumbuka tukio la polisi kuaibishwa na wafuasi wa CDM hapo Arusha ni la pili kama sikosei. Mapema 2011 waliandama namna hiyo katika mazishi ya waliekufa kutokana na risasi za polisi wakati wa yale maandamano makubwa. Polisi walikaa mbali na hawakuingilia. yalikuwa ya utuliva sana.
 
Kweli kabisa kwani hata Bagamoyo mkutanoni siku kazaa hapakuwa na ulinzi na hakuna vurugu yeyote, wao waendelee na unafiki wao lakini dhuruma haishi haki.
 
Labda Mkurugenzi wa TANROADS alikataa kutoa barua ya kukataza barabara yake isitumike na hao waombolezaji? tehe tehe tehe. On serious note, police wetu hawa ni watu wa ajabu kweli kweli.
 
hawapendi kuona mafanikio yenu kwa namna hiyo , ili kufikisha ujumbe wa propaganda zao ni lazima waingilie kuua na kuleta vurugu ilimradi watimize malengo yao ya kigaidi.
 
Back
Top Bottom