Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu,ila kwa hili mchemba hupaswi kusamehewa kuanzia unyayo hadi utosini,ukiwa hai au mtu,duniani hadi mbinguni,hata motoni pia sehemu ambayo ni haki yako.

R.I.P.KAMANDA JUDITH MOSHI.
 
Ni kweli mmeonesha umoja kwa chama cheti, mungu awajalie afya njema na maisha yenye furaha mpaka uchaguzi wa 2015 tumuondoe mdudu ccm.amen
 
Poleni wana CHADEMA. Ingawa wahusika wanajidai kuwa wako sawa, lakini kwa hakika wamejiadhibu wenyewe!!
 
Kwa heri jembe! Damu yako na wanachadema waliouliwa tukiusaka ukombozi wa taifa la kizazi kijacho, haitapotea bure. Tutakapokufuata, tutakuja kukuelezea kilivyoeleweka. R.I.P!
 
Ilaaniwe CCM, walaaniwe Kikwete, R1, Nchemba, Kinana, Mtela. Damu hii isiyo na hatia iwe juu yenx na vizazi vyenu vyote.
 
Hii ni aibu kubwa kwa ccm!
Aibu ya mwaka!
Shame on you big time!

Pumzika dada yetu Judith!
Huku duniani kuna watesi wengi.
Ona walichokufanyia.
 
Hii ni aibu kubwa kwa ccm!
Aibu ya mwaka!
Shame on you big time!

Pumzika dada yetu Judith!
Huku duniani kuna watesi wengi.
Ona walichokufanyia.
Mkuu PakaJimmy, CCM haina historia ya kutesa watu tangu kizaliwe mwaka 1977 futa usemi wako.CCM yenyewe imesikitishwa sana na mauaji ya wasiokuwa na hatia kwa wananchi wa Arusha.
 
Dr.W.Slaa,
Hakuna haja ya kujibizana na mahayawani aina ya blackgold. Hicho alichokifanya ndio kazi aliyotumwa. Cha muhimu wajue kuwa watanzania wa leo sio wale wa zidumu fikra...

Wamekatisha maisha ya dada yule, lakini hiyo haiwezi kuwarudisha nyuma wapenda mabadiliko...yatakuja watake wasitake.

Umati huo wa waombolezaji ni ushahidi tosha kuwa mbinu zao za mwisho mwisho nazo zimefeli...!
 
Last edited by a moderator:
ASANTE SANA KAMANDA CRASHWISE KWA PICHA. BINADAMU LAZIMA AWE TAYARI KUFA KWA AJILI YA KUTETEA HAKI . KIFO NI UKWELI AMBAO HAUEPUKIKI . KILA SIKU WATU HUFA ,LAKINI MATENDO MEMA YA MTU HUISHI MILELE . " by a black Activisit Jesse Jackson frm USA 1941. R.I.P kamanda Judy
 
Mkuu PakaJimmy, CCM haina historia ya kutesa wa tangu kizaliwe mwaka 1977 futa usemi wako.CCM yenyewe imesikitishwa sana na mauaji yasikuwa na hatia kwa wananchi wa Arusha.

ccm ipi hiyo mkuu
kifo cha mwangosi na watesi wa kibanda,ulimboka na kubenea.waliomba sumu mwakyembe je??
kama sio ccm mbona wahusika wa matukio yote hawakamatwi ila walioua baro walikamatwa week mbili tu!!
 
Dr. Nami sijawa jasiri kuwa wazi lakini siku itafika. Maana hata malaika wanaotusimamia hatuwaoni kwa macho ila kwa imani tu. Inauma sana unaposoma watu wasiojali maisha ya watu utadhani wataishi milele. Kejeli zinazotolewa zote zinaonesha kwamba Watanzania hatuna kitu kinachoitwa tanzia, bali ni wanyama kamili wasio na busara tuliyopewa na Mwenyezi Mungu. Nguruwe anaweza kumla nguruwe mwenzie hajui kuwa anakula nguruwe mwenzie. Sijaamini na sitaamini kuwa CHADEMA wanaweza wakatumia njia mbaya ya kutoa uhai wa watu kutaka uongozi. Japo simfahamu Judith lakini la moyoni, najisikia uchungu sana, sioni hamu ya kuitwa Mtanzania. Watu wengi wana imani na CHADEMA, nilipata moyo kusikia mbunge mmoja wa CCM aliyekiri kusikitishwa na haya na kusema kuwa haya yote yanasababishwa na watu wachache ambao hawataki kutoka madarakani kwa sababu ya uovu waliofawanyia watanzania. Poleni sana wana Arusha. Nakosa cha kuandika DR. Inauma sana. Inakera sana. Iliyoitwa Geneva imegeuzwa Machinjioni?
 
Back
Top Bottom