Mayai ya kware (Quail)

ASAKI

Member
Jul 7, 2014
28
2
Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza.

Msaada tafadhali
 
kwa wajasiriamali. natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. nipo mwanza. msaada tafadhali

Tuko wengi ( Mwanza ) kama ukifanikiwa nami nijurishe maana nami nayatafuta kwa udi na uvumba
 
Kwa dar ni rahisi kuna jamaa ana mayai ,vifaranga sina contact zake ils nweza kukuelekeza
 
Kuna mama mmoja ni mfugaji mzuri sana kiukweli amenisaidia mpaka kufika hapa kwa yeyote anaehitaji vifaranga wa kware aseme nimpm namba ya huyu mama
 
Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza.

Msaada tafadhali

Nenda Buguruni, kituo cha basi za daladala ziendazo Muhimbili, lipo duka la madawa ya binadamu uliza ndani wanayo kiasi chochote unachotaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom