Mawazo!!

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,303
293
Habari za jion memba,
Katika dunia yetu mi naamini hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupita siku au masiku bila yeye kuingia katika dibwi la mawazo.
wengine ya kawaida sana, wengine ni yako magumu mpaka anafikia hatua ya kutaka kuchanganyikiwa, na pia mimi naamin
watu wanatumia njia mbalimbali katika kutoa hayo mawazo hayo kichwani. sasa wanajamvi hilo ndo haswa napenda tushiriki pamoja
katika kujuzana. tunatumia njia gani katika kupunguza mawazo yetu?
Nawasilisha, ukitaka kuchakachua niombe ruhusa kwanza
 
Mi nimeshayazoea hayo mawazo, manake hata nikiwa usingizini huwa ninawaza!
 
Unaweza ukaangalia movie au ukatoka na kwenda kuonana na washkaji na mkapika storyin short ikiwa na mawazo usipende kukaa peke yako toka jichanganye na watu na mawazo yatapoyea kwa muda wakati unatafuta solution ya hilo tatatizo.
 
Mawazo yanathibitisha kuwa ubongo wako uko'active', ila kitu cha msingi ni kujiuliza... Je, mawazo yako ni yanamnagani? Are you a positive or negative thinker?
 
Unaweza ukaangalia movie au ukatoka na kwenda kuonana na washkaji na mkapika storyin short ikiwa na mawazo usipende kukaa peke yako toka jichanganye na watu na mawazo yatapoyea kwa muda wakati unatafuta solution ya hilo tatatizo.
asante mamaa salvador
 
Mawazo ni kawaida kwa mwanadamu lakini inategemeana na aina ya mawazo yanayokukabili. Its so general kila mtu kuwaza juu ya ugumu wa maisha, mawazo ya namna hii ni endelevu na jinsi ya kuyapima ni kutokana na malengo mtu aliyojiwekea. Haya ni ya kawaida, hayana shida sana. Shida ipo kwenye msongo wa mawazo! Hutokea mtu akakubwa na msongo mkubwa wa mawazo hali inayoweza hata kupelekea kudhoofu mwili, mf kupotelewa na kitu unachokipenda sana, kufukuzwa kazi n. k. Vitu kama hivyo vinatakiwa mtu binafsi kuelewa njia sahihi ya tatizo lake na kuona uwezekano wa yeye ku adopt njia hiyo kama upo vinginevyo aikubali kama changamoto na kuendelea na mambo mengine. Unaporuhusu msongo wa mawazo utawale akili yako unaziba akili uwezekano wa kifikiri vitu vingine na matokeo yake akili ikishindwa kupata majibu sahihi ni kuishia kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom