Mtu Poa 2013
Member
- Mar 26, 2013
- 86
- 45
Habari zenu
Kuna watu wamekuwa wakiniulizia ideas za biashara lakini wakiwa na mitaji midogo chini ya 500,000 sasa nimeona ni share ideas chache nilizonazo ili vijana wengi waweze kujiajiri na kupunguza uhalifu mitaani.
1. Kutengeneza mishumaa - mashine sido sh. 350,000/=
2. Mama lishe ya kisasa - sido wana masufuria mazuri ya kisasa 90,000/=
3. Kufyatua matofali - mashine zinaanzia 150,000 - 450,000
Kwa watu wengine wenye ideas, msisite ku share nasi.
Asanteni