Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

Verdy CB

Senior Member
Mar 19, 2013
149
66
Wengi wetu huwa tuna vipaji ila hatujui kama tunavyo au huwa ni wavivu kufikiria kuhusu jambo gani tunaloweza kufanya tukafanikiwa kwa mtaji mdogo au bila hata mtaji. Hapa nnazungumzia unaweza ukafanya kazi hizi bila kutoka chumbani mwako (kwa waliopanga) na zinalipa vizuri tu ukijitoa.

Nitaya outline tu kama kuna litakalokugusa hujui namna ya kulifanyia kazi niambie, nitalielezea hapahapa sio PM au kokote kule ili wote tuelimike;

1.Graphics design
2.Bookkeeping
3.Home inspection
4.Massage therapist
5.Tax preparation
6.Doula (labor coach)
7.Hair stylist
8. Interior designer

COMPANY HELPER;

9. Copywriting
10. virtual assistant
11.courier service
12.marketing consultant
13.Editing
14.web design
15.Translation
16.video production
17. internet security consulting
18.Green consulting
19.grant writing
20.medical transcription
21.debt collection
22.call centre representative

HOBBIES;

23.Blogging
24.E-Book author
25. building furniture
26.sewing
27.personal organizer
28. home staging
29.herb farming
30.electronic repair
31.baking
32.personal chef
33.mystery shopping
34.bargain hunting
35.personal stylist
36.catering
37.App designer
38.furniture refurnishing and repair
39.landscape design
40.tour guide

NECESSARY SERVICES;

41.at home day care
42.Off hour day care
43.elder care
44.lawn care
45. pet sitter
46.pet groomer
47.travel planning
48.meal planning
49.resume writting
50.party planning
51.child proofing
52.digital media conversion
53.tutoring
54.patient advocacy
55.personal trainer
56.junk removal
57. appraiser
58.drama teacher
59.music teacher
60.house cleaning

INTERNET ORIENTED;

61.Online store
62.ebay sales
63.micro jobs
64.internet market affiliate
65.Get paid for social media.

Kama una idea mpya ilete tushare maarifa.

Courtesy: 24tz
 
Mkuu nimependezwa zaidi na hizi no. 1, 8, 19 & 40 hivyo kama haitaleta ugumu naomba unipe ufafanuzi zaidi
 
inategemea na mazingira ya nyumbani kwako, au nyumba unayoishi
Seriously??? Badala ya kuona kwanza a bright future.. umewaza kwanza challenges?? kwani talent yako ni ipi au kati ya hayo 65 lipi umependezwa nalo tuone mazingira itakayohitaji
 
Mkuu nimependezwa zaidi na hizi no. 1, 8, 19 & 40 hivyo kama haitaleta ugumu naomba unipe ufafanuzi zaidi
1.graphics design - hii ni kama una knowledge ya graphic designing au una mpango wa kupiga hata course fupi kwa ajili yake inalipa kwa wastani wake na uvumilivu wako kwenye kupata wateja na kujitengenezea jina.
8. interior designing ni mostly kama you have it in you the love of art.. hii ni muhimu kulko hata cheti.. na interior designers wanahitajika sana si tu kwenye nyumba hata madukani..
19. grant writing.. kuna watu kama akina 'mimi' ambao tunapenda kuandika na tuna uwezo wa kuandika barua za kuomba misaada na mitaji. kwenye mashirika mengi hawana watu wa kuwaandikia barua hizo. ukipata bahati hiyo na kama ni mwandishi tumia fursa.
40. tour guide... Tanzania ni nchi yenye utalii kila kona... jitafutie jina mtaani, ukliona watalii wachangamkie...
TUMIA FURSA..
Panapo majaliwa.. nitaleta mada jinsi gani mtu unaweza kujitengenezea jina(BRANDING) kupitia kazi unayofanya maana ukijiajiri lazima uwe na jina ili kupata tenda.
 
Seriously??? Badala ya kuona kwanza a bright future.. umewaza kwanza challenges??

Kwa nini umekimbilia huku?., na nani amekwambia there is a guarantee of a "bright future" out of working from home na nani kasema ninawaza challenges?.

FYI Kuna baadhi ya vitu unabidi ku consider before start working from home

Uwe na jioni njema!.
 
Well I was just speaking my mind. ulivyotaja mazingira imesound kama a challenge... kama nimekosea I stand to be corrected.
yes, hakuna guarantee ya a bright future ila kama kila siku utakua hufanyii kazi mawazo yako kwa kuweka IFs and BUTs katika kila jambo. Itakua ni ngumu sana kwako kujitoa katika hilo jambo.
If you want to do something Believe in yourself. Exploit the opportunities and threats. THEN JUST DO IT IF YOU LOVE IT..
Uwe na jioni njema pia
 
Hapo kwenye no. 5 mkuu wangu
Hii itafaa zaidi kwa watu wenye degree za finance na accountancy. Hasahasa wenye CPA... Makampuni mengi hayapendi kuajiri watu fulltime ila pia yanapata shida sana kwenye kuandaa kafaili yao ya kodi hasahasa mwisho wa mwezi au mwaka wa fedha.. Ndipo opportunity inapokuja kwa wenye ujuzi huu kuwa wanafanya parttime work ya tax preparations..
 
Nashukuru sana mkuu naona niko filed tofauti
 
Most are not in our condition.
Tatizo umeenda copy kwenye net badala ua kufanya research pale uishipo mfano hayo uliyoongelea kwa Tanzania ngumu
 
Most are not in our condition.
Tatizo umeenda copy kwenye net badala ua kufanya research pale uishipo mfano hayo uliyoongelea kwa Tanzania ngumu

Most are in our condition.
Mjasiliamali atachukua wazo humu na kulifanya liendane na mazingira yake wkt mwenzangu na mm ata copy wazo kama lilivyo bila ubunifu wowote hivyo chances ya kushindwa ni kubwa.
 
Mkuu Verdy CB njoo ukate kitu ya branding ndugu yangu. Natamani siku moja Ngaga iwe jina kubwa ktk biashara, Mungu akinipa maisha marefu kidogo lazima ije kuwa hivyo japo changamoto zipo ila zinavumilika na kutatulika
 
Nilidhani ntaona Ufugaji kuku!
Ufugaji wa Mbuzi! Ufugaji wa Ng'ombe!
Bustani za mboga mboga!
 
Nilidhani ntaona Ufugaji kuku!
Ufugaji wa Mbuzi! Ufugaji wa Ng'ombe!
Bustani za mboga mboga!
Ndo maana nikasema leta za kwako pia tushare.. kwa mazingira yangu kufuga kuku ni kazi ndo maana sikuitaja.
 
Nimevutiwa na 61 ,62 naomba ufafanuzi hapo..mkuu Verdy CB
61. online stores.. hii inakua inafaa zaidi watu wenye majina tayar.. unakua unauza vitu online. kuna watu ambaovyo wamefankiwa kupitia hiki mfano fashionista(nargis mohamed) kupitia instagram na Hollywood shopaholics (Mange Kimambi) kupitia blogging.
62. ebay sales. kwetu hapa bado ni ngumu ila kama una mwenzio mwenye ebay account nje unaweza ukauza vitu.. majumbani mwetu tuna vitu vingi vya asili ambavyo hata hatuvitumii na vina hela nzuri tu in the international market. kulko kuviacha vikachakaa ndani mwetu bora kuviuza kupitia ebay, kaymu au amazon.. popote unapoweza kupata account
 
Mkuu Verdy CB njoo ukate kitu ya branding ndugu yangu. Natamani siku moja Ngaga iwe jina kubwa ktk biashara, Mungu akinipa maisha marefu kidogo lazima ije kuwa hivyo japo changamoto zipo ila zinavumilika na kutatulika
Ahsante mkuu kwa kunisaidia kufanya clarification hapo juu. pia kuhusu branding nitaileta soon tatizo huwa kupata muda ndo maana hata skuzielezea points hapo juu.
 
61. online stores.. hii inakua inafaa zaidi watu wenye majina tayar.. unakua unauza vitu online. kuna watu ambaovyo wamefankiwa kupitia hiki mfano fashionista(nargis mohamed) kupitia instagram na Hollywood shopaholics (Mange Kimambi) kupitia blogging.
62. ebay sales. kwetu hapa bado ni ngumu ila kama una mwenzio mwenye ebay account nje unaweza ukauza vitu.. majumbani mwetu tuna vitu vingi vya asili ambavyo hata hatuvitumii na vina hela nzuri tu in the international market. kulko kuviacha vikachakaa ndani mwetu bora kuviuza kupitia ebay, kaymu au amazon.. popote unapoweza kupata account

Samahani dada Verdy CB....mtu kama mimi natakiwa niwe na sifa gani ili niweze kufungua akaunti yangu huko ebay ,amazon, na kaymu na masoko mengine ya kimataifa..?.?...??
 
Last edited by a moderator:
Samahani dada Verdy CB....mtu kama mimi natakiwa niwe na sifa gani ili niweze kufungua akaunti yangu huko ebay ,amazon, na kaymu na masoko mengine ya kimataifa..?.?...??
Kama unatumia accounts zetu nyingi za kibongo hazijawa enhanced kupokea hela kimataifa ila unaweza ukaestablish a means na bank kubwa kama crdb au stanbic bank. ila it z very complicated labda kama una mtu overseas. ila unaweza kujaribu click hapa kupata maelekezo zaidi
KAYMU
EBAY
 
Back
Top Bottom