jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
ni imani yangu mawaziri wengi watakaotemwa kwenye baraza la mawaziri watahusishwa na ufisadi au ibadhirifu wa mali ya umma.hivyo sioni kwa nini mafisadi hawa waendelee kuwa wabunge,hasa ukizingatia wabunge wana jukumu la kusimamia halmashauri zetu.je mtu kama ngeleja ataweza kuisimamia jalmashauri yake isifanye ufisadi wakati yeye mwenyewe ni mtuhumiwa wa ufisadi?kama tumeamua kusafisha serikali tufanye hivyo katika level zote za serikali na utawala.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA