Mawaziri watakao jiuzuru wavuliwe ubunge na wafikishwe mahakamani

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
mawaziri watakaojiuzuru wanatakiwa kuvuliwa ubunge kwa wizi na ubadhirifu wa pesa za umma na kufikishwa mahakamani, la sivyo wezi wote walioko magerezani waachiwe, la sivyo wananchi waingie barabarani kudai haki ya taifa lao...Lema akiwa viwanja vya sahara jijini mwanza
 
hii itadhihirisha dhana nzima ya uwajibikaji

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
mawaziri watakaojiuzuru wanatakiwa kuvuliwa ubunge kwa wizi na ubadhirifu wa pesa za umma na kufikishwa mahakamani, la sivyo wezi wote walioko magerezani waachiwe, la sivyo wananchi waingie barabarani kudai haki ya taifa lao...Lema akiwa viwanja vya sahara jijini mwanza
Eeeh viroba na ganja hivi vitawapa mawazo hadi ya utajiri kip it upp
 
Eeeh viroba na ganja hivi vitawapa mawazo hadi ya utajiri kip it upp
Kwa kauli ya CC jana ikuna kila dalili hivi viroba vikawa vina saidia sana au CC jana ilikunywa viroba..............
 
Can never happen in bongoland

It happened once, those days of mentally fit leader. Mbunge mmoja wa huko kusini mwa nchi alifungwa kwa kukutwa na meno ya tembo, aliyoyaficha kwa padri wa kikatoliki. He was Abdi Rabi(sp?).

Enzi hizi tuna wakenua meno tu!

Back
Top Bottom