Mawaziri wapya wa jk na uchapaji kazi

SYENDEKE

Senior Member
Jul 18, 2011
169
26
wanajavi ni siku ya tatu toka mawaziri wapya waanze kazi rasmi kiukweli wameanza kwa mbwembwe kwelikweli sasa sijui ndo hali na mukali ya utendaji kazi au wanataka kumwonyesha mkuu wa kaya (JK) kuwa uteuzi wake ulikuwa sahili au ndo nguvu ya soda na je wanafanya hivyo ili kuwakomoa wale walio pigwa chini au ndo makundi ya magamba
mfano huyu N waziri wa maji dr mahenge ametoa hotuba nzito kwenye mkutano wa maji na bonge la data as if alikuwepo pale miaka mingi kumbe anasiku tatu (3) anyway nawaombe mfanye kazi vizuri lakini sheria ni msumeno
 
Back
Top Bottom